sauti nzito
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 171
- 234
- Thread starter
- #281
Yani umesema vyema🤣🤣, pia kuna zile spika za misikiti wanachoongea huko ndani unasikia kama wapo sitting room kwako🤣🤣.. Haya mambo yanatakiwa kubadilika hayatupi utakatofu wowoteKama ni mabasi ya watu binafsi na hakuna anayeshikiwa mtutu wa bunduki kulazimisha kupanda haupaswi kulalamika, pengine konda huomba abiria mmoja asali kabla basi halijaanza safari. Haya mambo utata ni pale imani za watu zinawaaminisha kuwa gospels zinawapa kinga, wengine utaona mbele awening'iniza rozali au tasbihi na yote hayo ni mambo ya imani.
Kwangu mimi kero kubwa ni speakers kubwa zinazokera mitaani, hazana na kengele za kanisa kwani huwasumbua watu wanaoishi karibu na makanisa/misikiti ilhani mtu yuko nyumbani kwake.
Angalau huyo unaweza kumwambia anaelewa🤣, wale makondakta wa mabasi ni zero kabisa hawaelewi ukimwambia anakuchonganishia na abiria ambae ni mchungaji🤣🤣..mnaanza kugombana abiriaMilugaluga hio mipumbavu sana. ulokole mavi kila sehemu, na kuna wale wanapanda basi likisimama na bibilia na kuanza kupiga makekele