Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

Nakutoa kwenye mada kivipi, em taja maudhui moja tuu inayotizamwa na kila mtu acha maneno mengi.
Huwezi kupiga miziki ya injili tu njia nzima masaa kumi na mbili afu uko hapa unatusumbua kudai mifano ya maudhui inayopendwa na watu wote🤣🤣.

Na kama mwenye bus au kondakta ameamua kwenye bus yake aweke mambo ya dini na ni gari ya umma(kwa maana kwamba wateja wake ni watu wa dini na aina zote) akiweka moja ya kikristo, inayofuata aweke ya kiislamu hivohivo hadi safari ikamilike uone kama watakubali🤣🤣.

Usitumie agenda ya kwamba unaweka maneno ya mungu afu unaweka ya mungu wako tu🤣🤣. Ndo maana kuepusha yote hayo tunashauri yasiwekwe maudhui ya kidini kabisa🤣🤣

Hapo umeelewa wewe akili kisoda?😎😎😎
 
Abood ndo wamejitofautisha zaidi ila sio kwa Shabiby
Naogopa kutaja majina ya kampuni ili nisiwe nawapa watu promo za bure, au nikataja wenye mifano mibaya nikawa naua biashara za wengine walizotumia muda mna nguvu kuzifikisha hapo zilipo.

But natamani wajirekebishe wajue wateja wao ni wa aina zote so kila kinachowekwa ndani ya bus zao kijitahidi kisiwe kero kwa wateja wao😊
 
Unataka waweke nyimbo zipi? Wakikukera acha kupanda buses zao
Waambie waandike kwenye matangazo kuwa kwenye hii gari tunataka watu wanaopenda injili tu au kaswida tu🤣🤣.

Uone kama watu tusiopenda hayo mambo tutapanda
 
Yeah ila unaweza ulizia kwa cabin crew kabla ya kupanda, uhakika wa hiyo huduma kama upo.
unatuona wote kama matako yako sio hatujawahi kupanda ndege🤣🤣?

Kwahiyo hadi umefika kwa cabin crew unaweza kufanya maamuzi tofauti kwasababu ya kinachotokea ndani ya ndege?

Hadi uwajue cabin crew unaosafiri nao kwenye ndege tayari milango ya ndege ishafungwa ngazi imetolewa chuma inaondoka, labda uwe umepata dharura inayotishia uhai ndo wanaweza ku-verse the process ushushwe🤣

Hapa toa ushauri ambao ni practical, sio umeokota vi-vocabulary vyako vitatu huko vya kwenye ndege unataka viwe applied kwenye bus za msamvu🤣🤣
 
Andika onyo kabla ya kukata tiketi kama hiyo property yako hujapanda na baba yako tu🤣🤣
My property my terms, take it or leave it.
Je wale wanaopigiwa kelele na kwaya na hazana majumbani mwao wafanyeje?
 
Nani kakwambia kuna mbingu?🤣🤣🤣, ukifa tunakuzika chini mbinguni unaenda na ndege gani?? unapandia ndege wapi??
 
Andika onyo kabla ya kukata tiketi kama hiyo property yako hujapanda na baba yako tu🤣🤣
Ndiyo ilivyo, sina shida ya kuandika simply because it can never be your terms on my property. Unataka ku-impose uyatakayo kwenye properties za watu, anza kusafiri kwa gari lako binafsi kwani hakuna anayekulazimisha kupanda mabasi ya watu.
Hauna tofauti na mtu atakayelalamika basi likiwa na picha za timu ya Yanga au za timu ya Simba ilhali basi linapakia abiria wa timu tofauti.
 
😎maoni yako tumeyaona, na uwezo wako kuchangia hoja tumeuona, ila nakufundisha tu kuwa bus tunazoziongelea ni private property iliyosajiliwa kutoa public service kwa masharti ya kutoa huduma bila ubaguzi wa aina yoyote(kidini, kikabila, kijinsia na kutakiwa na sheria kujiepusha na ubaguzi wa aina yoyote)🤣🤣

Umeelewa??
 
Mimi hata mtu akapiga qaswida mwaka mzima hainitatizi so long as najua imani yangu ipo wapi.

Religious tolerance nadhani ni muhimu tukaelimishana.
 
Tolerance inapokuwa abused ndo tatizo linaanzia hapo🤣

It's not fair kutafuta tolerance ya mtu for twelve hours or more, una nafasi ya kutokumkwaza kwanini umkwaze afu utake awe mvumilivu?
 
Hakuna abuse ya tolerance mkuu kama unayo unayo tu.

Sio kitu cha kutafuta na tochi.
 
😎maoni yako tumeyaona, na uwezo wako kuchangia hoja tumeuona, ila nakufundisha tu kuwa bus tunazoziongelea ni private property iliyosajiliwa kutoa public service kwa masharti ya kutoa huduma bila ubaguzi wa aina yoyote(kidini, kikabila, kijinsia na kutakiwa na sheria kujiepusha na ubaguzi wa aina yoyote)🤣🤣

Umeelewa??
Umbumbumbu wako ni wa kiwango cha kustaajabisha, hapo hakuna mtu aliyezuiwa kupanda bali choices na preferences zako ambazo ni haki yako ndicho kinachokusumbua or rather ndicho kitakachokusumbua. It's the same like umepanda basi unastuka hakuna charging ports au hakuna air conditioners au hakuna seatbelts au hakuna wastebasket hivyo some will definitely be irritated and some will be just fine.
Tatizo ni kwenu religious fanatics mnadhani issues ni kwaya au kaswida tu hapo ni kwamba you've just exposed your religious fanaticism and your lack of reasoning capabilities.
 
utaahira wako ni kushindwa kutoa hoja yako bila kushambulia character ya mtu usiemfahamu hata kidogo🤣🤣. Na huna ufahamu wowote wa chochote🖕🖕
, unaweza kufikisha hpja bila tusi wala kejeli na ikaeleweka.

Muige user mwenye username ya "stroke"

"MATAKO YAKO"
 
We mama hii ni jamii forums, mijadala inaibuka ili ijadiliwe na itoe majibu chanya kwa pande zote, wewe kwavile imeguswa interest yako umekuja hapa kama umebakwa ukijidai uko neutral😀 English nyingi haina mchango wa maana umetoa sanasana umefanya mashambulizi.

"You are a religious fool, wafanulie wasioamini kwa upole watakuelewa🖕🖕"
 
utaahira wako ni kushindwa kutoa hoja yako bila kushambulia character ya mtu usiemfahamu hata kidogo🤣🤣. Na huna ufahamu wowote wa chochote🖕🖕
, unaweza kufikisha hpja bila tusi wala kejeli na ikaeleweka.

Muige user mwenye username ya "stroke"

"MATAKO YAKO"
Matako ya mama yako.
 
Back
Top Bottom