Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

kunna kutokupenda, na kuna kurekeka na kitu🤣. Kwani bank wanawekaga gospel? Basi weke gospel nyimbo moja afu ikiisha waweke qaswida pia nyimbo moja🤣🤣
Kwani kuna shida gani kuweka Nyimbo za Injili? Injili kamili si ipo kwenye quran kama ilivyoteremshwa kwa kiarabu kwa Issa bin Maryam?
 
tolerance
Kupiga makusudi injili au qaswida kwenye usafiri wa umma halafu utegemee wenye imani tofauti wapractice religious tolerance sio sawa.

Tujifunze kwenye majengo ya serikali yanayotoa huduma kwa jamii, ni wapi uliona wanaweka qaswida au gospel songs wakiamini watu watakuwa na tolerance?
 
Ni kweli, ila sidani kama waislamu huwa wanahangaika kulazimishia watu qaswida au maudhui ya dini kwenye bus. Binafsi sijawahi kuona bus iliyoweka maudhui ya kiislam, kama ipo haitakiwi pia
Mengi tu. Lakini Injili ya Issa aliyezaliwa huku mama yake anapiga push ups huku anakula tende chini ya mtende pale Macca si ipo kwenye Quran?

Tena ni Injili nzuri isiyochakachuliwa kama iliyochakachuliwa ya makafiri?
 
Na sisi tusiyovutiwa na hayo mambo je tusipande hayo magari?

Acheni kufanya maisha yawe magumu sana. Jifunzeni kuchukuliana na mambo nyie vijana. Maisha hawahitaji userious kihivyo mkuUnaongelea jambo la imani,
W
Nenda straight, taja moja
najua unatamabi kuwatetea tuwavumilie, waweke hata national geographic🤣🤣, haiongelei mambo ya imani yoyote
 
Na sisi tusiyovutiwa na hayo mambo je tusipande hayo magari?

Acheni kufanya maisha yawe magumu sana. Jifunzeni kuchukuliana na mambo nyie vijana. Maisha hawahitaji userious kihivyo mkuu.
Achana nayo mkuu, hizo mambo waachie Wasukuma na Waha

Kuna nambo mengi ya kutafakari na ya kujifunza ukiwa safarini
 
Wanakera sana hawa mbwa! Ingekuwa Bus za waislam wanaweka mawaiza ya kiislam au Qur'an,wangelalama Nchi nzima
Mbona Inasemekana Azam TV wanaweka maudhui ya dini fulani tu hasa kwenye movie za kutiwa maneno ya kiswahili?
 
ila pia kwenye hiyohiyo Azam decoder si kuna channel za kikristo? si ukaangalie mada unazipenda kwemye hizo chanel
Pia kwenye usafiri wa uma mbona kuna magari ya waislamu kibao si uchague gari ya waislamu wenzako?
 
Usafiri wa umma!!
Unaelewa maana yake????

Watoto wenu wana hasara!!
Watanzania mlio wengi hamjui haki zenu.
Ukinunua chombo ukakileta barabarani kubeba abiria huo unageuka kuwa usafiri wa umma hata kama ulinunua wewe.
Kwa hiyo huwezi kuamua tu kufanya utakavyo eti kisa gari ulinunua wewe,kama ukitaka kiwe chombo binafsi kapande na mkeo ili abiria wabaki na nauli zao.
 
Mbona Inasemekana Azam TV wanaweka maudhui ya dini fulani tu hasa kwenye movie za kutiwa maneno ya kiswahili?
Unataka tu kuishambulia Azam kwa faida zako za kiimani, Azam TV wameweka option ya channel zote kama unapenda za kikristo nenda chagua channel za gospel utaangalia hadi kifurushi chako ulichojiunga kikome🤣🤣
 
Watu wengi wa usafirishaji hawajui kuwa abiria wengi wanaosafiri wanahitaji utulivu katika safari zao, wapo wanaoenda misibani, wengine kwenye usahili, hivyo kwa kiasi kikubwa safari inatakiwa kuwa na utulivu. Lakini wao wanaweka mamuvi au manyimbo yaani makelele tu, hadi mtu unakosa utulivu wa kutafakari mambo yako ya msingi. Wasichokijua ni kuwa vitu vyote wanavyoweka kwenye tv za kwenye mabasi sisi huwa tunaviona majumbani kwetu kwahiyo hatuna interest navyo kabisa. Mimi nainjoi safari kwenye gari ambalo tv imezimwa kwakweli.
 
Yanayomilikiwa na wakristu na kutoa mfano Mabus ya Morogoro kwa sababu unawajua wamiliki wapo upande gani..

Ulichokisema kipo valid na huwa sipendi pia. Ila mwenye bus hana influence ila dereva na makondakta wake

Mfano nishapanda daladala dsm si mara moja au mbili nikakuta wanasikiliza mawaidha. Lakini sikuipa uislamu vs ukristu ila ni utashi wa dereva tu
 
Wanakera sana hawa mbwa! Ingekuwa Bus za waislam wanaweka mawaiza ya kiislam au Qur'an,wangelalama Nchi nzima
Kwani nyimbo za Injili zina shida gani? Mbona nyimbo zinazopigwa kwenye mabasi hazina shida na zinaeleza kuhusu Isa au kwa kuwa hawaimbi kiarabu?

Basi tutawaambia waandishi wa nyimbo za Injili waimbaji kiarabu sasa au unasemaje mzee Makoti? Tutawaambia waimbaji jinsi alivyozaliwa huku mama yake akipiga push ups na kula tende kama ilivyoandikwa kwenye quran ya muddy boy.
 
Kupiga makusudi injili au qaswida kwenye usafri wa umma halafu utegemee wenye imani tofauti wapractice religious tolerance sio sawa.

Tujifunze kwenye majengo ya serikali yanayotoa huduma kwa jamii, ni wapi uliona wanaweka qaswida au gospel songs wakiamini watu watakuwa na tolerance?
hoja imeeleweka mkuu,
 
Pia kwenye usafiri wa uma mbona kuna magari ya waislamu kibao si uchague gari ya waislamu wenzako?
Kwahiyo huduma za umma zitolewe kwasababu za kiimani🤣🤣? Wewe huna uwezo wa kujaadili hii mada kaa pembeni soma comments tu. Hebu waambie waandike kuwa wanahudumia abiria wakristo tu kwenye matangazo uone kama watapewa leseni na LATRA🤣🤣. You are a religious fool
 
Back
Top Bottom