muziki unafariji, unaponya mjuba, hili nalo hujui faida za muziki? Ishu ya maudhui ni kitu kingineMagari ya abiria lengo lake siyo kuburudisha wasafiri kwa muziki. Lengo lake ni kusafirisha abiria. Huyo baba alikuwa sahihi kabisa. Nadhani wengi hamjui madhara ya mambo kama haya. Unajenga jamii yenye mawazo finyu tena ya aiana moja na hasa pale muziki unapokuwa wa maudhui potofu. Ndiyo maana unakuta jamii imeambukizwa ujinga wa kuwaza kwa aina moja tena mambo ya kijinga..
Kwenye mambo ya imani sio rahisi kihivyo, ukiwa hapa JF huwa unaonaga mada za masuala ua Imani zinavyokuwaga ngumu. Waarabu na Wazungu wameturoga na hizi dini zaoHahahaha haya lakini lengo langu ni kutaka kueleza, tujifunze kuchukuliana na dini sio uadui bosi.
Ni kweli kama tungekuwa jamii tunayojitambua vizuri na kujiweza kiuchumi safarini ingekuwa sehemu ya kusoma vitabu na kujifanyia mambo mengine ila usafiri wa bus Tanzania ni mgumu sana usio comfortable kuweza kufanya mambo ya maana kwa hiyo TVs zinapunguza tabu kidogo.Magari ya abiria lengo lake siyo kuburudisha wasafiri kwa muziki. Lengo lake ni kusafirisha abiria. Huyo baba alikuwa sahihi kabisa. Nadhani wengi hamjui madhara ya mambo kama haya. Unajenga jamii yenye mawazo finyu tena ya aiana moja na hasa pale muziki unapokuwa wa maudhui potofu. Ndiyo maana unakuta jamii imeambukizwa ujinga wa kuwaza kwa aina moja tena mambo ya kijinga..
Sio sawa, hawatakiwi kuweka qaswida au injili kwenye huduma za umma zinazotumiwa na watu wa dini zote🤣🤣
Mimi nikikutana na comedy has za mkojani, ndaro na Stivu mweusi pamoja na bongo movies safari tayari imeharibika.Kama taarabu hata kama nimekata tiketi naweza itelekeza nikashuka hata porini
Kuna watu hawaruhusiwi kusikiliza muziki kimatibabu kabisa , na wengine hawapendi mziki wa aina yoyotemuziki unafariji, unaponya mjuba, hili nalo hujui faida za muziki? Ishu ya maudhui ni kitu kingine
Hawa bado sijawajua mkuu ,nawajua matujo , kingwendu bambo joti na mpoki😁Mimi nikikutana na comedy has za mkojani, ndaro na Stivu mweusi pamoja na bongo movies safari tayari imeharibika.
Distraction sio DestructionNadhani huwa hawajui kuwa zile TV ni kwa ajili ya abiria na sio wao makonda na madereva..
Lakini pia sometimes kwa safari ndefu. Kheri waweke tu hizo destructions japo sauti wakicontrol itakuwa sawa zaidi kwa watu wasio interested..
Balance story yako kwani kuna mengine yanaweka kaswida.Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.
Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania
Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
Sawa ni private property ila imesajaliwa kutoa huduma kwa jamiiUnaelewa maana ya private property?
Kwani ukisikia wimbo wa injili unapata shida ganiKuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.
Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania
Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
Sasa mtu atajuaje hili bus lina maudhui fulani ndani yake ilhali ni mpaka lianze safari ndiyo wanaweka!!Hayo nafikiri ni maamuzi binafsi ya mwenye usafiri kama unaona ni kero kwako unaweza kutafuta usafiri utakaokuwa na maudhui uyapendayo
Kupiga miziki kwenye gari ni kupigiana kelele na kero kwa wengine.Ni mziki gan tunaweza kujali ili tukipiga kila mtu afurahie ndani ya gari?