min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Sheria zinasemaje kuhusu vifaa vya muziki na television ndani ya usafiri wa umma? Na ukizingatia kuna ambao hawataki kabisa kelele , kuna wagonjwa wasio hitaji usumbufu wa aina yoyote pia?Sawa ni private property ila imesajaliwa kutoa huduma kwa jamii