Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

🚮🚮🚮

🤣🤣, unavokatikiwa maungoni na wanaume unadhani ni tabia ya kila mtu sio, toa mtazamo wako utaheshimiwa🤣🤣🚮🚮🚮🚮🚮

"Free speech"
Acha mipasho wewe,hujashukiwa panga ili upande
 
Ila bado bus ni public service, ni muhimu tukawekewa tahadhari tujue kuna ubaguzi wa kidini kwenye hiyo bus na huduma zake kabla hatujapanda🤣, ili tukipanda tujue kama sio mkristo au sio musilamu hauna mamlaka ya kuomba kubadilishiwa kinachofanyika humo ndani ya bus

e
Naamini ukiuliza kabla ya kukata tiketi utajibiwa.
Sasa imagine wenye nyumba karibu na makanisa na misikiti adha wanazopitia.
Kuna jamaa yangu back in the day aliwahi kumkodishia gari Msenegali sasa siku wamekutana akakuta yule Msenegali katoa rozali ilipokuwa inaning'inia na ameweka tasbihi, alivunja mkataba kisa gari eti gari lake linawekwa vitu visivyofaa.
Hizi imani za kuletewa kutoka Middle East(Abrahamic religions) zimefanya watu wamekuwa mazuzu sana na wanazichukulia serious kuliko hata hao waliozitunga na kuzileta.
 
Hizi dini zimetupa ustaarabu kidogo ila matatizo mengi zaidi🄹🄹, kama sio hizi dini Afrika tungekua mbali sana kimaendeleo
 
Naamini ukiuliza kabla ya kukata tiketi utajibiwa.
Sasa imagine wenye nyumba karibu na makanisa na misikiti adha wanazopitia.
Kuna jamaa yangu back in the day aliwahi kumkodishia gari Msenegali sasa siku wamekutana akakuta yule Msenegali katoa rozali ilipokuwa inaning'inia na ameweka tasbihi, alivunja mkataba kisa gari eti gari lake linawekwa vitu visivyofaa.
Hizi imani za kuletewa kutoka Middle East(Abrahamic religions) zimefanya watu wamekuwa mazuzu sana na wanazichukulia serious kuliko hata hao waliozitunga na kuzileta.
Kwanini uulize? ni jukumu lao kuweka hiyo taarifa wazi hadharani.

Mbona mlangoni bus zimeandikwa kama ni vip au business class. Nadhani ni takwa la kisheria ili ukiwa unaingia ujue unaenda kukutana na nini
 
My property my terms, take it or leave it.
Je wale wanaopigiwa kelele na kwaya na hazana majumbani mwao wafanyeje?
 
Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.

Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania

Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
Huku zenji pia wanakera kinoma daladala mingi muda wote mawaidha tu wanafikiri sisi wote ni waislam
 
We nae huna kitu huko kwenye fikra zako, kuna ile nyimbo inaimba
....... nibembeleze nibeeebe, Yesu nibebe🤣🤣..hayo sio maudhui ya kidini?

"Yesu kwa wakristo ni mungu, kwa waislamu sio mungu", kumlazimisha muialamu kusikiliza hiyo for 12 good hours ni kumuumiza🤣🤣🤣
Uislamu na ukristo ni ujinga wenu mliouanzisha wanadamu.

Kitakachokupeleka mbinguni ni matendo mema sio ukristu au uislamu wako.
 
Back
Top Bottom