Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

Sasa mkuu, kwa mfano, kulazimishwa kula nyama mbichi na kula konokono unataka kusema hakuna lenye unafuu? Basi tufanye umelamishwa; wewe utachagua lipi mkuu?A

Injili maana yake ni habari njema.

Habari njema inamhusu kila mwanadamu.

Kama unahisi habari njema haikuhusu basi ujue dishi lako limeyumba.
🤣🤣huna uwezo wa kupokea na kuhimili mtazamo tofauti, kama unaamini njia yako ndo njia pekee sahihi dishi lako bovu
Exactly. Hata mm naona afadhali kusikiliza kaswida/injili au hata mawidha ya kiislamu/kiinjili kuliko hizi nyimbo za ngono na bangi. Hakuna kinachoniudhi naingia kwenye basi/daladala halafu nasikia nyimbo zinazotukuza bangi, ngono na uvunjivu wa sheria na zinapigwa kwa sauti kubwa. Inaniuma sana.
Hivohivo unavoumia wewe na wengine wanaumia, makosa mawili hayatengenezi jema🤣
ndiyo maana kutenganisha ndiyo suluhisho la kudumu, kwani Christians hawawezi ku-coesxit na Muslims hata siku moja, ni lazima mmoja atoe zaidi ya anavyopata, separation kama india vs pakistan ndiyo suluhisho la kudumu na la kiume. separation ...
bus ziandikwe hii ni wakristo tu au hii ni waislamu tu..si ndo unachomaanisha?🤣🤣
 
Injili maana yake ni habari njema.

Habari njema inamhusu kila mwanadamu.

Kama unahisi habari njema haikuhusu basi ujue dishi lako limeyumba.
Tusiijadili habari njema, tuijadili inapowasilishwa ni sehemu sahihi??🤣 unatutoa nje ya mada
 
Sasa mkuu, kwa mfano, kulazimishwa kula nyama mbichi na kula konokono unataka kusema hakuna lenye unafuu? Basi tufanye umelamishwa; wewe utachagua lipi mkuu?
Kupiga push up kwa hiari yako ni mazoezi, ila ukipigishwa na mjeda ni adhabu japo ni push up ile ile, na inawezekana ukipiga mwenyewe unapiga nyingi zaidi🚮🚮🚮
 
Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.

Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania

Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
Wewe ni fukara mpaka kwenye kope za macho na bado unapangia matajiri namna mali zao zitumike

Kapande ndege kama una uwezo huo au tembea kwa miguu kama hutaki kero
 
Wewe ni fukara mpaka kwenye kope za macho na bado unapangia matajiri namna mali zao zitumike

Kapande ndege kama una uwezo huo au tembea kwa miguu kama hutaki kero
namsaidia bibi yako alieko kijijini akutane na mazingira rafiki kwenye public areas, shauri yako🤣🤣. Changia hoja yenye mashiko acha kutoa matusi na kutupigia kelele na kigari chako cha mkopo🚮🚮🚮
 
namsaidia bibi yako alieko kijijini akutane na mazingira rafiki kwenye public areas, shauri yako🤣🤣. Changia hoja yenye mashiko acha kutoa matusi na kutupigia kelele na kigari chako cha mkopo🚮🚮🚮
Wewe ni ufukara unakusumbua hakuna lingine,masikini hua mna roho mbaya sana

Umejikunyata umebanana kwenye mabus ya matajiri unapiga kelele
Shika bomba utafika nyumbani acha kelele
 
Wewe ni ufukara unakusumbua hakuna lingine,masikini hua mna roho mbaya sana

Umejikunyata umebanana kwenye mabus ya matajiri unapiga kelele
Shika bomba utafika nyumbani acha kelele
Huna akili yenye uwezo wa kujadili mada kubwa hivi🤣🤣, nenda ukaombewe afu urudi
 
Huna akili yenye uwezo wa kujadili mada kubwa hivi🤣🤣, nenda ukaombewe afu urudi
Mada kubwa ndio ya kujadili mali za wanaume wenzako kua zinakukera?😀😀
Tafuta pesa acha ushamba,wewe mshamba kweli
 
🤣🤣huna uwezo wa kupokea na kuhimili mtazamo tofauti, kama unaamini njia yako ndo njia pekee sahihi dishi lako bovu

Hivohivo unavoumia wewe na wengine wanaumia, makosa mawili hayatengenezi jema🤣

bus ziandikwe hii ni wakristo tu au hii ni waislamu tu..si ndo unachomaanisha?🤣🤣

mwelekeo mzuri ...
 
Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.

Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania

Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
Kama ni mabasi ya watu binafsi na hakuna anayeshikiwa mtutu wa bunduki kulazimisha kupanda haupaswi kulalamika, pengine konda huomba abiria mmoja asali kabla basi halijaanza safari. Haya mambo utata ni pale imani za watu zinawaaminisha kuwa gospels zinawapa kinga, wengine utaona mbele awening'iniza rozali au tasbihi na yote hayo ni mambo ya imani.
Kwangu mimi kero kubwa ni speakers kubwa zinazokera mitaani, hazana na kengele za kanisa kwani huwasumbua watu wanaoishi karibu na makanisa/misikiti ilhani mtu yuko nyumbani kwake.
 
Milugaluga hio mipumbavu sana. ulokole mavi kila sehemu, na kuna wale wanapanda basi likisimama na bibilia na kuanza kupiga makekele
 
🚮🚮🚮
Wakati wenzako wanatafuta wakanunua mabus wewe ulikua unakata viuno
Mzee utadharaurika acha ujinga
🤣🤣, unavokatikiwa maungoni na wanaume unadhani ni tabia ya kila mtu sio, toa mtazamo wako utaheshimiwa🤣🤣🚮🚮🚮🚮🚮

"Free speech"
 
Back
Top Bottom