M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
A dumbass lacking foresight, it's obvious that you can't see further than the end of your nose.We mama hii ni jamii forums, mijadala inaibuka ili ijadiliwe na itoe majibu chanya kwa pande zote, wewe kwavile imeguswa interest yako umekuja hapa kama umebakwa ukijidai uko neutral😀 English nyingi haina mchango wa maana umetoa sanasana umefanya mashambulizi.
"You are a religious fool, wafanulie wasioamini kwa upole watakuelewa🖕🖕"
unapanda basi lenye stiker za YESU NI MWAMBA, halafu unalaamu maudhui yake??A dumbass lacking foresight, it's obvious that you can't see further than the end of your nose.View attachment 3568644
Kuna kitu kinaitwa common sense, hauna hata chembe.
With your irritating religious intolerance at least ungejibu mifano ya lack of aircon, lack of seatbelts and the likes.
You nailed it bro.unapanda basi lenye stiker za YESU NI MWAMBA, halafu unalaamu maudhui yake??
mbona yapo yanayomilikiwa na wasio Wakrito na piga nyimboza injili ...nayo Wakristo wanalazimisha?,lkn pia kama mabasi ya Wakristo yanapiga nyimbo za injili basi uwe unapanda ambayo si ya Wakristo,yapo mengiKuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.
Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania
Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
100%Za Tanga baadhi huweka kaswida, hivyo kila mtu huweka kuendana na imani aliyonayo (& ya watu wa mwendako)
kwa asilimia 90% tunaabudu Mungu , ndio maana hata bungeni,shughuli za kiserikali tunataja Mungu, kwahiyo wengi wapeSio wote tunaabudi mungu, unakosea🤣🤣
Sasa ukimtukana Mungu wangu mimi naanzaje kutoka povu. In fwakti Mungu ana uwezo wa kujipambania mwenyewe, hahitaji support yoyote ya mwanadamu kujipambania na kujipambanua.usiite watu wajinga, ukitukaniwa mungu wako utajaza povu🤣🤣..changia mada kama ilivyowasilishwa tutapokea mchango wako na kukubali mawazo mbadala
Mungu atabaki kuwa Mungu.Hata hujielewi🤣, your way is not the only way through
Sio sawaKuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.
Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania
Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣