Ni sawa Muumini kuungama dhambi kwa mchungaji/padri, Je padri/mchungaji anaungama kwa nani?

Nashangazwa Sana yaani utakuta jitu kubwa au au mtu mtu mzima kabisa na ndevu sake anaenda kwa mchungaji au padri eti kuungama dhambi zake yaani unaenda kuconfess dhambi zako kwa mwanadamu mwenzio sasa sio kama vituko ni nini? Je huyo padri au mchungaji anaenda kuungama dhambi zake kwa Nani? Kwamba yeye padri anaungama au anaongea na Yesu direct?

Mwanaume mzima au mtu mzima na akili zake unapiga magoti kwenye kiangamio halafu mwanaume anakusikiliza tu ukitaja dhambi zako ulizofanya sasa kama sio ujinga ni nini? Halafu hii sio sawa huu ni utumwa wa fikra kabisa..
Unaambiwa dini makes people stupid, hapa ndipo Waafrika tulipochanganikiwa na maisha.
 
Kuungama kwa Padri ni mfumo uliowekwa zamani na Dola ya Kirumi ukilenga kukamata waharifu!
Dhambi unaungama wewe mwenyewe mbele za Mungu,na Mungu aonaye sirini atakusikia,
(Waebrania4:15-16)
(Mathayo6:6)
Ili mradi uwe na nia ya Kutubu dhambi na kuziacha,(Mithali28:1)
Kama huna nia ya kuacha,Mungu hatasikia sala ya mwenye dhambi,(Yohana9:31)
Kuungama hadharani ni kwa mtu kukiri kuacha dhambi na kuwa tayari kumfuata Yesu kwa kuishi maisha ya Usafi na Utakatifu.
 
Nashangazwa Sana yaani utakuta jitu kubwa au au mtu mtu mzima kabisa na ndevu sake anaenda kwa mchungaji au padri eti kuungama dhambi zake yaani unaenda kuconfess dhambi zako kwa mwanadamu mwenzio sasa sio kama vituko ni nini? Je huyo padri au mchungaji anaenda kuungama dhambi zake kwa Nani? Kwamba yeye padri anaungama au anaongea na Yesu direct?

Mwanaume mzima au mtu mzima na akili zake unapiga magoti kwenye kiangamio halafu mwanaume anakusikiliza tu ukitaja dhambi zako ulizofanya sasa kama sio ujinga ni nini? Halafu hii sio sawa huu ni utumwa wa fikra kabisa..
Hayo maswali mnayarudia kila mwaka.Dini ni Imani.Imani ipo akilini mwa mtu.Usidhani utainunua dukani.Stiff-naked fools!
 
Back
Top Bottom