Kuungama kwa Padri ni mfumo uliowekwa zamani na Dola ya Kirumi ukilenga kukamata waharifu!
Dhambi unaungama wewe mwenyewe mbele za Mungu,na Mungu aonaye sirini atakusikia,
(Waebrania4:15-16)
(Mathayo6:6)
Ili mradi uwe na nia ya Kutubu dhambi na kuziacha,(Mithali28:1)
Kama huna nia ya kuacha,Mungu hatasikia sala ya mwenye dhambi,(Yohana9:31)
Kuungama hadharani ni kwa mtu kukiri kuacha dhambi na kuwa tayari kumfuata Yesu kwa kuishi maisha ya Usafi na Utakatifu.