Securelens
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 316
- 541
Kuna baadhi ya watu humu JF wamekuwa wakihoji idadi ya wapiga kura kuwa milioni 29 mwaka huu na kueneza dhana potofu ya kuwepo kwa wapiga kura hewa. Si kweli hata kidogo.
Idadi ya wapiga kura walioandishwa mwaka 2015 ilikuwa ni 23,161,440 (22,658247 kwa Tanzania bara na 503193 kwa Zanzibar). Hivyo ni jambo la kawaida kuwa na ongezeko hilo kwa miaka mitano na kufikia jumla ya wapiga kura halali 29,804,992 kwa Tanzania bara na Zanzibar kwa mwaka huu.
Tukumbuke population growth ya Tanzania ni kati ya 2.5-3% kila mwaka. Hivyo tuachane na fikra zozote potofu za kuwepo kwa wapigakura hewa. Vyama vilivyotoa madai hayo hadi sasa vimeshindwa kutoa hata chembe ya ushahidi.
Muhimu tuhamasishane wote tuliojiandikisha tukapige kura na tumchague Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa ajili ya maendeleo yetu na ustawi wa taifa letu.