Securelens
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 316
- 541
- Thread starter
- #21
Machifu wetu hawakupigana kwa ajili ya uchu wao wa kutawala bali kukomboa watu wao dhidi ya wakoloni. Ndivyo anavyofanya Dkt Magufuli anaipigania Tanzania dhidi ya mabeberu wa nje ambao tayari wameleta wakala wao kugombea urais kwa lengo la kunufaika na rasilimali zetu. Tumkatae kabisa na tubaki na Tanzania yetu iliyo chini yetu na watoto wetu.Kwa hiyo unawalaumu machifu walioanza kumpinga mkoloni mpaka tukapata uhuru! Inaelekea unaupenda sana utumwa na kutawaliwa.