Uchaguzi 2020 Ni sawa Tanzania kuwa na idadi ya wapiga kura milioni 29 mwaka huu?

Kwa hiyo unawalaumu machifu walioanza kumpinga mkoloni mpaka tukapata uhuru! Inaelekea unaupenda sana utumwa na kutawaliwa.
Machifu wetu hawakupigana kwa ajili ya uchu wao wa kutawala bali kukomboa watu wao dhidi ya wakoloni. Ndivyo anavyofanya Dkt Magufuli anaipigania Tanzania dhidi ya mabeberu wa nje ambao tayari wameleta wakala wao kugombea urais kwa lengo la kunufaika na rasilimali zetu. Tumkatae kabisa na tubaki na Tanzania yetu iliyo chini yetu na watoto wetu.
 
Hauwajui machifu, walikuwa wanawavamia machifu wa makabila mengine kama afanyavyo unayemtetea, usilete historia za kutunga.
 
Hauwajui machifu, walikuwa wanawavamia machifu wa makabila mengine kama afanyavyo unayemtetea, usilete historia za kutunga.
Mkuu achana na mwakilishi mkazi wa mabeberu huyo. Hana msaada wowote kwako. Ataiuza Tanzania.
 
Brother ogopa sana ccm wanapo amua kufanya jambo Lao Ata kama mmgombea hawampend ila hawatasita kupigia kula Nakwambia hivyo lazima wao Wana angalia kijan ipo wap wa naweka tiki hawany mambo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…