Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #101
Natumia app ya zamaniKwani we unatumia application au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumia app ya zamaniKwani we unatumia application au
Kupima Mimi binafsi siwezi maana % ya kudhuru mtu ni kubwa sanaNi vizuri maana humu sura mnabahatisha kawapime waliosalia
Kama unatumia mobile app unabonyeza kwenye vidoti vitatu upande wa juu kulia kisha unabonyeza Copy URL, then unaenda kubandika Sehemu husika kama hivi
Mke wa mtu ananitesa
Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa. Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo. Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka...www.jamiiforums.com
OkNitajifunza
POleeeKupima Mimi binafsi siwezi maana % ya kudhuru mtu ni kubwa sana
Screenshot nione icon yakeNatumia app ya zamani
Screenshot nione icon yake
Mbona kama ni browser hiyo... Au umeinstall kutoka kwenye browser?Hii hapa
HapaMbona kama ni browser hiyo... Au umeinstall kutoka kwenye browser?
Hii situation nilishakutana nayo miaka ya nyuma sana
Wanawake hawana akili.....kwa hiyo alidhani hutagundua?Kwqngu sikuhitaji DNA, nilikutana nae kimwili mwezi wa 8 kwa mara ya kwanza, kumbe ni majamzito (mimba ya miezi kama mitano) halaf sikujua kabisa..
nikaja kumtimua tarehe 1 mwezi wa 12,
akarudi kwao akajifungua tarehe 5 mwezi huo huo!
Changamoto sanaWanawake hawana akili.....kwa hiyo alidhani hutagundua?
duh!!