Ni sawa Watumishi kukatwa kwenye zoezi la Sensa 2022

kweli walimu mnamoyo na pepo ni yenu, oneni vijana mliowafundisha kusoma na kuandika wanavyotumia ujuzi huo kuwazodoa na huku wakijua kabisa uhalisia wa kipato chenu. Cha ajabu kesho mwalimu kama kawaida kiroho safi na nguvu zote bila kinyongo anaingia class kumfundisha kujua kuandika na kusoma mzodozi wake wa baadae.
 
Haya Mwalimu wa zamu
 
Okay
 
Ipo vita Kali kati ya wasio na ajira dhidi ya wenye ajira... Mtu unaweza kufikiria mwenye ajira ndie amezuia fursa za ajira...!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…