Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #41
Mbona Wana posho mzuri asa walimu mkuuWalimu wananjaa sana lakini ni watu muhimu wanafundisha watoto wetu
Asa leo morning naingia job nakutana na Mwalimu mkuu ananiambia waliopewa kazi hii awajatenda haki