Ni sawa Waziri Chana kukutana na Balozi wa Urusi leo wakati tunapokea ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani?

Sawa Sawa Mjomba lakini mkubwa wako anavyojiandaa ugeni na wewe katikati unapokea ugeni ku antagonise ugeni wa mkubwa wako ni sawa?
Hakuna tatizo lolote kwasababu ule ni ugeni wa kitaifa, ziara ya kitaifa ya kiserikali, ugeni wa Waziri ni ministerial tuu, hauna tatizo lolote!. Tena after the end of the cold war, there's no any antagonism between the East and the West.
P
 
Hadithi yako umejijibu mwenyewe katika paragraph ya nne. Kina Julius Nyerere, Josip Broz Tito na wengine walishatuepusha na hayo mambo sijui nikiongea na magharibi basi mashariki watanuna. Mambo yao hayatuhusu. Wamegombana wenyewe na wataelewana wenyewe. 🙏🙏🙏
 
Ila nimependa sana alivyopokewa na makamu wa rais mpango
 
Ningependa kujua zaidi huyo Balozi na Waziri walikutana uwanjani kwa shughuli gani?
 
Hauna hoja. Kwahiyo ratiba zingine za nchi zisimame kisa kamala yuko Dar
 
Hakuna tatizo lolote kwasababu ule ni ugeni wa kitaifa, ziara ya kitaifa ya kiserikali, ugeni wa Waziri ni ministerial tuu, hauna tatizo lolote!. Tena after the end of the cold war, there's no any antagonism between the East and the West.
P
Brother PASCO.
The issue of Antagonism bado IPO mkuu, tena imegawanyika west camp under USA and East Camp under China. IPO Ila Kwa Africa, China keshakaaa tayari, USA KAZI ANAYO KWA AFRICA

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Huyu balozi wa Urusi anaitwa "Andrew".
Halafu,balozi wa Ukraine pia anaitwa"Andrew".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…