Washington, D.C.Ni sehemu gani watu wana pasifia sana ila ulivyo fika ukaona ni pa kawaida tuu
Mimi ni mzaliwa wa huko ila nilivojitambua nikaona hapanifai nitafute Kambi kokote siwez kwakwel hekaheka mda wote kero hata ukiwa na usafir wako bado tu utachelewa unapoenda Sasa ndo ninMwanza, arusha kwa dsm nmeishi sn na ndo home mpk natoka kwenda kujtegemea kanda ya ziwa bt dsm spapendi kbs joto, maisha tight raia uswaz wanaish kama vile hawana pa kwenda, miundombinu ya usafiri shda sn kukaa kwny daladala masaa 5 ni kawaida kbs na watu wanapasfia sn bt mi huwa nabaki kuwashangaa tu..
kule hpn ni ile una biashara kkoo au unatakiwa uingie kazn saa mbili ila ajabu ofsn unafka saa kumi na mbili asbh na huna inshu yoyote mpk saa 2 kilichokuwaisha n kuwahi folen unaamka saa kumi alfajiri, kwa kkoo biashara nyng znachanganya saa tatu mpk nne asbh raia saa 12 washafka wanazagaa zagaa tu kusubiri maduka yafunguliwe ksa wamewahi folen, dar wanapashobokea waporipori tu kule n pa kuchungulia ksha unapotea. Raia weng dsm hawako huru wana maisha magumu sn ndo ile unataka fkia kwa mtu ufanye inshu zako sku 2 usepe ukfka stend unazmiwa cm mtu hatak ufke kwake maana maisha anayoish ni maskitiko anaona aibu hata mlo 1 tu hakuna uhakika.Mimi ni mzaliwa wa huko ila nilivojitambua nikaona hapanifai nitafute Kambi kokote siwez kwakwel hekaheka mda wote kero hata ukiwa na usafir wako bado tu utachelewa unapoenda Sasa ndo nin
Dogo acha bangeRome-Italy pakawaida mno kama pale manzese ya kahama
Kuna watu huwaambii kitu Kwa daslamkule hpn ni ile una biashara kkoo au unatakiwa uingie kazn saa mbili ila ajabu ofsn unafka saa kumi na mbili asbh na huna inshu yoyote mpk saa 2 kilichokuwaisha n kuwahi folen unaamka saa kumi alfajiri, kwa kkoo biashara nyng znachanganya saa tatu mpk nne asbh raia saa 12 washafka wanazagaa zagaa tu kusubiri maduka yafunguliwe ksa wamewahi folen, dar wanapashobokea waporipori tu kule n pa kuchungulia ksha unapotea. Raia weng dsm hawako huru wana maisha magumu sn ndo ile unataka fkia kwa mtu ufanye inshu zako sku 2 usepe ukfka stend unazmiwa cm mtu hatak ufke kwake maana maisha anayoish ni maskitiko anaona aibu hata mlo 1 tu hakuna uhakika.