Kwa Tanzania chemka hot spring ndio inaongoza kwa ubora ,hakuna mfano wake .Chemka hot spring.. picha za mtandaoni mandhari nzurii, maji yana rangi nzurii. Ila fika sasa uso kwa macho!! Pabaya kinoma..
Khaaa! Uliambiwa kuna nini? Au zile kachori na supu ya pwezaMtoni mtongani kwa aziz ally
🤔🤔 pale chemka? Ni vile samaki vinavyotekenya miguu au?Kwa Tanzania chemka hot spring ndio inaongoza kwa ubora ,hakuna mfano wake .
Hahahhaa🤔🤔 pale chemka? Ni vile samaki vinavyotekenya miguu au?
Yale mazingira hapana, ile sio greenish.. ni vichaka chaka tupu. Msosi miooo, kwanza mbalii na ile rough road, its not worth 🤨
Sijui ni dhambi mmezidisha?
Kheri mara mia hata Napuru waterfall km unapajua..
Jamaa umepitia mengi sana , hivi nyeto ya nzi nayo umewahi kuipitia ?Migori (kule Kenya). Watu walikuwa wanaisifia kaunti ya migori ila nilipofika nikashangaa sana, yaani wenyeji walipendelea kunya kwenye mifuko ya rambo na kufunga hiyo rambo kisha mnyaji anaurusha mbali mfuko ule kwa nguvu zote, wenyewe wanasema hii ni 'flying toilet'.
Monetary doctor Dr am 4 real PhD adriz Vincenzo Jr.
Sasa man hiyo ndio raha ya game driving mixer binocular nk… We unataka ufike Ngorongoro umkute Sharubu yupo getini?Mbuga za wanyama. Nimekoma sirudii tena. Nilikuwa nadhani jinsi ninavyoona kwenye video za wanyama ndio hivyo hivyo, kumbe mnawatafuta kwa tochi mara mnasikia simba kaonekana huku mnaanza kukimbizana na magari yenu mnawakuta vikundi vidogo kwenye kichaka. Niliona sawa sawa nipo kwenye zizi la mifugo
Raskazone beach 😁Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu
Tena niyakute yamezagaa au yanakimbiza wanyama wengine kama ilivyo kwenye channel ya NATGEO WILDSasa man hiyo ndio raha ya game driving mixer binocular nk… We unataka ufike Ngorongoro umkute Sharubu yupo getini?
Ushawahi kuvuka hapo kati ufike upande ule mwingine? Kule at least, waogeleaji sio wengi sbb nadhani pana kina kirefu zaidi..Hahahhaa
Mimi mwoga wa maji vibaya mno 😁Ushawahi kuvuka hapo kati ufike upande ule mwingine? Kule at least, waogeleaji sio wengi sbb nadhani pana kina kirefu zaidi..
Hapa changanyikeni ukiogelea usipotoka na mafua we mwamba..
View attachment 3533083
Raha uwa ni hii, wakatize katikati mrudi kuwaangalia 😁Tena niyakute yamezagaa au yanakimbiza wanyama wengine kama ilivyo kwenye channel ya NATGEO WILD
Ulifika Matejoo peke yake au 😁Arusha ni kijiji kikubwa
Nyeto ya nzi ilianzishwa na mimi. Wengine waliingia na ninaweza kuwashitaki kwa kuiga style yangu bila kuniomba.Jamaa umepitia mengi sana , hivi nyeto ya nzi nayo umewahi kuipitia ?