Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
TangaKama ni miji inayovutia, bongo mimi naona hakuna.
TangaKama ni miji inayovutia, bongo mimi naona hakuna.
Wakenya miyeyusho sana 😀😀Migori (kule Kenya). Watu walikuwa wanaisifia kaunti ya migori ila nilipofika nikashangaa sana, yaani wenyeji walipendelea kunya kwenye mifuko ya rambo na kufunga hiyo rambo kisha mnyaji anaurusha mbali mfuko ule kwa nguvu zote, wenyewe wanasema hii ni 'flying toilet'.
Monetary doctor Dr am 4 real PhD adriz Vincenzo Jr.
Huu mji wenyeji huku Dar wanausifia balaa.Hapa nakuunga mkono,kabla sjafika miaka kadhaa nyuma,Arusha ilikuwa inaitwa Geneva of Africa. Ule mji wa kisen* sana,sjui kwa sasa maana miaka imepita
Dar es salamNi sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu
Migori nishafika binafsi nilipaona Pana uafadhali kimaendeleo kuliko tarime upande wa TanzaniaMigori (kule Kenya). Watu walikuwa wanaisifia kaunti ya migori ila nilipofika nikashangaa sana, yaani wenyeji walipendelea kunya kwenye mifuko ya rambo na kufunga hiyo rambo kisha mnyaji anaurusha mbali mfuko ule kwa nguvu zote, wenyewe wanasema hii ni 'flying toilet'.
Monetary doctor Dr am 4 real PhD adriz Vincenzo Jr.
Arusha MjiniNi sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu
wewe utakuwa mwendawazimu wewe, hayo maeneo hata skuwa na mazoea napo kbs ninapajua dsm kuliko hata baba yako, swala la watu kuwa na maisha ya level tofauti na maeneo tofauti ktk mji 1 hata USA, EUROPE wapo watu wa namna iyo ila kusema dsm kuna watu wanaish kama peponi sjui walioko marekani wasemeje, kuna watu wana maisha bora sn mikoan kuliko hao wa pepon ya dar, bt dsm raia wengi 95% wanaish maisha magumu sn kula ya shda, makaz duni sn kama ilivyo mikoan tu sema mikoan mwny kpato duni ana uhakika sn wa basic needs kuliko mwny kpato duni aliyeko dsm....ukute unaandka haya kumbe ni likibaka tu hapo kkoo, dsm raia maneno meeengi, mipango miingi kumbe hamna ktuWewe utakuwa umekulia ama umeishi maeneo ya uswazi kama Manzese , Vingunguti, Mbagala, Tegeta, Mwananyamala, Kwa Azizi Ally, Kwa Mtogole, Keko (zote), n.k.
Dar Kuna maisha ya levels zote kutegemea na uwezo wako wa pesa. Kuna maeneo Dar watu wanaishi kama wako peponi.
Yeah tupo wengi tu. Kwa kuwa wewe hupapendi Dar haina maana kila mtu anapaswa kupachukiaKuna watu huwaambii kitu Kwa daslam
Manzese uwanja wa fisi.Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu
Labda chumviniNi sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu
Mke yule mwalimu kakuvuruga saikolojia yako aisee...Kwasababu hoja iliyopo ni miji ya Tanzania ila wewe unafananisha na miji ya USA,Yaani tuseme Mohammed dewj sio tajiri mkubwa eti kisa Kuna Elon muskwewe utakuwa mwendawazimu wewe, hayo maeneo hata skuwa na mazoea napo kbs ninapajua dsm kuliko hata baba yako, swala la watu kuwa na maisha ya level tofauti na maeneo tofauti ktk mji 1 hata USA, EUROPE wapo watu wa namna iyo ila kusema dsm kuna watu wanaish kama peponi sjui walioko marekani wasemeje, kuna watu wana maisha bora sn mikoan kuliko hao wa pepon ya dar, bt dsm raia wengi 95% wanaish maisha magumu sn kula ya shda, makaz duni sn kama ilivyo mikoan tu sema mikoan mwny kpato duni ana uhakika sn wa basic needs kuliko mwny kpato duni aliyeko dsm....ukute unaandka haya kumbe ni likibaka tu hapo kkoo, dsm raia maneno meeengi, mipango miingi kumbe hamna ktu
Mende anatembea kwa maringo sana kaka.Iupdate tia mende badala ya nzi
Walinilenga kichwani kwa mfuko wa rambo uliojaa mboji, na hii ndiyo sababu iliyonirudisha Tanzania 😂.Wakenya miyeyusho sana 😀😀
Kule migori shida ni ile tabia ya wakazi kufurusha mifuko iliyojaa vinyesi kama mabomu ya Iran.Migori nishafika binafsi nilipaona Pana uafadhali kimaendeleo kuliko tarime upande wa Tanzania
Pole kakaWalinilenga kichwani kwa mfuko wa rambo uliojaa mboji, na hii ndiyo sababu iliyonirudisha Tanzania 😂.
Eti Monetary doctor anawasifia wakenya.
Kwa mwandiko huu hapana wewe sio mzaliwa wa Dar.kule hpn ni ile una biashara kkoo au unatakiwa uingie kazn saa mbili ila ajabu ofsn unafka saa kumi na mbili asbh na huna inshu yoyote mpk saa 2 kilichokuwaisha n kuwahi folen unaamka saa kumi alfajiri, kwa kkoo biashara nyng znachanganya saa tatu mpk nne asbh raia saa 12 washafka wanazagaa zagaa tu kusubiri maduka yafunguliwe ksa wamewahi folen, dar wanapashobokea waporipori tu kule n pa kuchungulia ksha unapotea. Raia weng dsm hawako huru wana maisha magumu sn ndo ile unataka fkia kwa mtu ufanye inshu zako sku 2 usepe ukfka stend unazmiwa cm mtu hatak ufke kwake maana maisha anayoish ni maskitiko anaona aibu hata mlo 1 tu hakuna uhakika.
Wenyewe wanapasifia sana hapo.Arusha Mjini