cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Chanikaaa πππππDar, mara ya kwanza nilijua itakuwa kama New York au London? π€£ Kumbe kuna Mbagala na Gongolamboto.. π
Chanikaaa πππππDar, mara ya kwanza nilijua itakuwa kama New York au London? π€£ Kumbe kuna Mbagala na Gongolamboto.. π
πππππππIkulu.
Mwanzo nilipokua nasikia ikulu nilikua napachukulia yaani ni eneo fulani amazing sana.
Kuna jamaa mmoja akazidi kunifanya nizidi kupaelewa aliponiambia kuna hadi wanyama pori.
Basi nikawa na imagination fulani nzuri sana.
Kuja kufika bhana, harufu ya ajabu ajabu mwanzo, kati mpaka mwisho.
Wale wanyama pori pale wanateseka tu jamani, wanakutana na harufu mbaya, ma kelele ya madala dala.
Ndio maana Nyerere alikua hakai ikulu.
Imagine wewe ni rais, umekaa zako kutuliza akili mara unasikia mbagala jero mbagala jero
Ila hali ya hewa ni nzuri.. π Nikiwa Dar natakata.. πChanikaaa πππππ
πππππMbuga za wanyama. Nimekoma sirudii tena. Nilikuwa nadhani jinsi ninavyoona kwenye video za wanyama ndio hivyo hivyo, kumbe mnawatafuta kwa tochi mara mnasikia simba kaonekana huku mnaanza kukimbizana na magari yenu mnawakuta vikundi vidogo kwenye kichaka. Niliona sawa sawa nipo kwenye zizi la mifugo
πππππMpaka unaweza kuwailiza mbona hamnipeleki Dee Cee
Pole pole basi jmn tunakanyagana...wewe utakuwa mwendawazimu wewe, hayo maeneo hata skuwa na mazoea napo kbs ninapajua dsm kuliko hata baba yako, swala la watu kuwa na maisha ya level tofauti na maeneo tofauti ktk mji 1 hata USA, EUROPE wapo watu wa namna iyo ila kusema dsm kuna watu wanaish kama peponi sjui walioko marekani wasemeje, kuna watu wana maisha bora sn mikoan kuliko hao wa pepon ya dar, bt dsm raia wengi 95% wanaish maisha magumu sn kula ya shda, makaz duni sn kama ilivyo mikoan tu sema mikoan mwny kpato duni ana uhakika sn wa basic needs kuliko mwny kpato duni aliyeko dsm....ukute unaandka haya kumbe ni likibaka tu hapo kkoo, dsm raia maneno meeengi, mipango miingi kumbe hamna ktu
Inaelekea wewe ni mtoto wa mpiga debe na mama muuza tembele, umekulia maisha ya shida kama unayoyasimulia.bt dsm raia wengi 95% wanaish maisha magumu sn kula ya shda, makaz duni sn kama ilivyo mikoan tu sema mikoan mwny kpato duni ana uhakika sn wa basic needs kuliko mwny kpato duni aliyeko dsm....
Tuache uongo wavuvi kuna vibe.. wapi pengine utapanda juu ya meza uchezeKitambaa cheupe
Wavuvi Kempu
Kabisa.Dar pakishamba mno shindii
Kwa kelele hapana hakuna kelele pale ila ni pa kishamba kulinganisha na hadhi yake.Ikulu.
Mwanzo nilipokua nasikia ikulu nilikua napachukulia yaani ni eneo fulani amazing sana.
Kuna jamaa mmoja akazidi kunifanya nizidi kupaelewa aliponiambia kuna hadi wanyama pori.
Basi nikawa na imagination fulani nzuri sana.
Kuja kufika bhana, harufu ya ajabu ajabu mwanzo, kati mpaka mwisho.
Wale wanyama pori pale wanateseka tu jamani, wanakutana na harufu mbaya, ma kelele ya madala dala.
Ndio maana Nyerere alikua hakai ikulu.
Imagine wewe ni rais, umekaa zako kutuliza akili mara unasikia mbagala jero mbagala jero
Labda ulipita usiku.Kwa kelele hapana hakuna kelele pale ila ni pa kishamba kulinganisha na hadhi yake.
Huko ndio home labda sikuizi kuna kelele maeneo yale siwezi bisha nina muda kidogo sijafika huko. Ila sikatai ni pa kishamba.Labda ulipita usiku.
Daladala na bajaj mbovu zoote ruti yake ni feri.
Me sipapend dar pia, sijui nihamie mkoa ganiMwanza, arusha kwa dsm nmeishi sn na ndo home mpk natoka kwenda kujtegemea kanda ya ziwa bt dsm spapendi kbs joto, maisha tight raia uswaz wanaish kama vile hawana pa kwenda, miundombinu ya usafiri shda sn kukaa kwny daladala masaa 5 ni kawaida kbs na watu wanapasfia sn bt mi huwa nabaki kuwashangaa tu..
chagua mkoa kulingana shughuri unazofanya, hali yako ya uchumi ukiyapata haya mikoani bs usjiulize sn hamia haraka sn, kwa kanda ya ziwa mikoa au wilaya ambayo ni affordable sn kuish bila presha yan nyumba na vyakula uhakika na bdo ukawa una make money mdogo mdogo ni biharamulo, mwanza, mbeya town, tunduma, katoro geita, haya ni maeneo ambayo mi nina uzoefu nayo yako ok sn kama huna mambo mengi, ukiwa busy tu na utafutaji tena kwa biashara ndogo ndogo tu za mtaji wa kuanzia laki 1 mpk 1 milion unatoboa kbs.Me sipapend dar pia, sijui nihamie mkoa gani
Kule nilikuwa na dem wangu alikuwa anafanya kazi veta.. π Ni pazur, sema baridi na ikifika asbh barafu zinadondoka na zinaunguza nyasi.. πIpelele makete njombe