Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu

Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu

kule hpn ni ile una biashara kkoo au unatakiwa uingie kazn saa mbili ila ajabu ofsn unafka saa kumi na mbili asbh na huna inshu yoyote mpk saa 2 kilichokuwaisha n kuwahi folen unaamka saa kumi alfajiri, kwa kkoo biashara nyng znachanganya saa tatu mpk nne asbh raia saa 12 washafka wanazagaa zagaa tu kusubiri maduka yafunguliwe ksa wamewahi folen, dar wanapashobokea waporipori tu kule n pa kuchungulia ksha unapotea. Raia weng dsm hawako huru wana maisha magumu sn ndo ile unataka fkia kwa mtu ufanye inshu zako sku 2 usepe ukfka stend unazmiwa cm mtu hatak ufke kwake maana maisha anayoish ni maskitiko anaona aibu hata mlo 1 tu hakuna uhakika.
acha uzwazwa yaani ukakae kwa mtu siku 3 bure tu huchangii chochote.... Kwanini usiende kukodi chumba hotelini?

Mbona wazungu hawana hizi tabia za kupenda vya bure?Nimeishi europe ila sijawahi kuona hizi tabia za ajabu za wabongo.

Ok umekwenda kwa mtu hujachangia chochote kakupa free accommodation bado unataka akupe na msosi 3course bure tu...akikupa mlo mmoja unatoka hapo kwenda kumpakazia kwenu.... What an ungrateful creature you are?
 
Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu
DSM...mara ya kwanza kufika dsm ukaletwa ugali mezani kama ngumi nikaupiga wote nikijua niko mwenyewe asee kumbe ulikuwa ni ugali wa watu 10 asee ilibidi ile familia ilale njaa ...sitasahau siku iliyofata nikaamsha zangu kurudi kijijini
 
East Zoo na K-Nyama kama alivyokua anaimba Ngwair kwenye nyimbo zake pamoja na wadau wote wa Chamber squad. Picha linaanza East Zoo ni kwenye uwanja wa mpira wa pale chuo cha st John's (Zamani Mazengo High School)Dodoma. Pale uwanjani kuna kajukwaa flan hivi kadogo kwa nyuma ndo chamber squad walikua wanafanyia freestyles zao na kula vitu. Nilichoka sana nilivyooneshwa. Sehemu ya pili ni hiyo K-Nyama nilijuaga ni kamji mflani kama vile Little Tokyo in Los Angeles California. Huku na huku kumbe ilikua inasifiwa Kijitonyma. Ukija kusikiliza ngoma ya Getho langu ndo unachanganyikiwa zaidi. Anyways, Ngwair alikua mbele sana ya muda.
 
Tanzania
Ukiwa Kabul utadhani Tanzania ni peponi kumbe wapi hakuna Cha amani Wala amana
 
acha uzwazwa yaani ukakae kwa mtu siku 3 bure tu huchangii chochote.... Kwanini usiende kukodi chumba hotelini?

Mbona wazungu hawana hizi tabia za kupenda vya bure?Nimeishi europe ila sijawahi kuona hizi tabia za ajabu za wabongo.

Ok umekwenda kwa mtu hujachangia chochote kakupa free accommodation bado unataka akupe na msosi 3course bure tu...akikupa mlo mmoja unatoka hapo kwenda kumpakazia kwenu.... What an ungrateful creature you are?
ona hili takataka ww ni mzungu? Aliyekwambia mtu anayejielewa anaweza enda kwa mtu akakaa sku 3 hachangii ktu ni nani? Wanaojielewa wanaishia kulala tu alfajiri ameamka ataonekana usku, fala ww kuna wazungu huwa wanakuja na wanafkia kwny miji ya watu kasoro kula tu labda kama huna marafk wazungu bnafs ninao ni kawaida kbs wanapga mishe zao town usku nakuwa nao home hasahasa wanafunz wa vyuo wanaokuja fanya tafti huku africa, tahira la mwsho ww.
 
1. Daslam... Huko nilikuja nikakaa kidogo nikaondoka, then nikarudi nikaa tena mwaka flani alooh maisha magumu sana Dar ni overrated baadhi ya vitu, sehemu yenyewe kuna joto balaa, palinishinda nikaondoka..

2. Dodoma... Huku nako shida sana maisha magumu na ukame wa hatari, kukaa huu mkoa miezi kadhaa bila kuona hata dalili ya mvua kawaida sana na hapo ni masika.. wakazi wake mpaka una wahurumia tu yaani life ni gumu kingese.

3. Mbeya.. Daah aisee huku nako kwakweli nmekaa sana miaka kadhaa ila sasa utadhani unaishi kwenye kijiji fulani hivi kikubwa ambacho tu kimebahatika kupata huduma flani flani ila hapana kabisa hadhi ya kua jiji, Iringa pazuri kuliko Mbeya... Tunduma pamechangamka kuliko Mbeya..

Ni sehemu nyingi nmebahitika kutembea hii nchi na kwingine nmekaa kabisa ila nilipokua surprised sana ni hayo maeneo tofauti na picha au stories za huku mitandaoni ukifika physically ukakaa ndiyo utaona utofauti na stories za watu..
 
Back
Top Bottom