Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu

Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu

Dah kama nakuona, vipi hukubeba wanao wa majuu waje waogelee?

mzuka wa kupiga maji ya baharini, wenzenu wana kinukisha hadharani.
Hoyo miaka mingi sana kabla sijaondoka wala kupata mtoto.

Nilichukua gap year na kuzunguka niijue nchi yangu, nikagundua ile Tanzania ninayoielewa Dar pale ni tofauti sana na huko mikoani.

Labda siku hizi wamejirekebisha.
 
ona hili takataka ww ni mzungu? Aliyekwambia mtu anayejielewa anaweza enda kwa mtu akakaa sku 3 hachangii ktu ni nani? Wanaojielewa wanaishia kulala tu alfajiri ameamka ataonekana usku, fala ww kuna wazungu huwa wanakuja na wanafkia kwny miji ya watu kasoro kula tu labda kama huna marafk wazungu bnafs ninao ni kawaida kbs wanapga mishe zao town usku nakuwa nao home hasahasa wanafunz wa vyuo wanaokuja fanya tafti huku africa, tahira la mwsho ww.
umepaniki kwasababu i touched your nerves...Ni hivi hao wazungu wako huwezi kukuta wanatoka hapo kwako wanaenda kulalamika kuwa wamekula mlo mmoja kama wewe ulivyoandika hapa...pathetic dog
 
Dsm.
Ukisikia unaweza hisi maeneo yote ni safi, kumbe hakuna kitu.
Uswazi huko, doooh tabu tupuu.
 
Back
Top Bottom