Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu

Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu

Mbuga za wanyama. Nimekoma sirudii tena. Nilikuwa nadhani jinsi ninavyoona kwenye video za wanyama ndio hivyo hivyo, kumbe mnawatafuta kwa tochi mara mnasikia simba kaonekana huku mnaanza kukimbizana na magari yenu mnawakuta vikundi vidogo kwenye kichaka. Niliona sawa sawa nipo kwenye zizi la mifugo
Hata Mimi nilienda mikumi sikuamini macho yangu Wanyama unawapata kwa tochi tena sio wote .
 
Ushawahi kuvuka hapo kati ufike upande ule mwingine? Kule at least, waogeleaji sio wengi sbb nadhani pana kina kirefu zaidi..

Hapa changanyikeni ukiogelea usipotoka na mafua we mwamba..
View attachment 3533083
Mimi bwana sijui kuogelea vizuri. Sasa nilifika hapa Chemka, kuna ile bembea ya kamba, watu wana bembea nayo kisha wanajirusha kwenye maji chubwi!

Mimi si nikadhani, hapo kuna kina kifupi bwana, Weeeh! Ile nimeenda aseeh! Nilizama chini ile kuibuka, nikaomba boya kwanza nivae.

Kile kina cha pale sio poa. Halafu kuna visamaki 🐟🐟 vidogo vikawa vina ning'ata.
 
kule hpn ni ile una biashara kkoo au unatakiwa uingie kazn saa mbili ila ajabu ofsn unafka saa kumi na mbili asbh na huna inshu yoyote mpk saa 2 kilichokuwaisha n kuwahi folen unaamka saa kumi alfajiri, kwa kkoo biashara nyng znachanganya saa tatu mpk nne asbh raia saa 12 washafka wanazagaa zagaa tu kusubiri maduka yafunguliwe ksa wamewahi folen, dar wanapashobokea waporipori tu kule n pa kuchungulia ksha unapotea. Raia weng dsm hawako huru wana maisha magumu sn ndo ile unataka fkia kwa mtu ufanye inshu zako sku 2 usepe ukfka stend unazmiwa cm mtu hatak ufke kwake maana maisha anayoish ni maskitiko anaona aibu hata mlo 1 tu hakuna uhakika.
Wewe utakuwa umekulia ama umeishi maeneo ya uswazi kama Manzese , Vingunguti, Mbagala, Tegeta, Mwananyamala, Kwa Azizi Ally, Kwa Mtogole, Keko (zote), n.k.

Dar Kuna maisha ya levels zote kutegemea na uwezo wako wa pesa. Kuna maeneo Dar watu wanaishi kama wako peponi.
 
Back
Top Bottom