Mkuu, ulienda kufanya nini hukoIlunde Wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi. Kijiji kipo Porini, Kilomita 70 toka makao makuu ya Wilaya ya Mlele. Hakuna network wala nini na ni Porini hasa. Sijui walifuata nini kule.
Mkuu, tutake radhiMpanda katavi....mji wa hovyo sana ule
Yes, Rukwa Kuna madini sanaBora hata mpanda, kuna mahali panaitwa MAJIMOTO aisee huko nilipoenda nilijiuliza qatu wamefuata nini, na wengi wao ni wasukuma kule...Ajabu ni kwamba they are making money ile hatari. Ni matajiri wa kutupwa kutokana na kilimo ufugaji na madini.
Hapo umepiga kamba barabara zote zinalami, uwanja wandege mkubwa na National Park.Mpanda katavi....mji wa hovyo sana ule
Yah ni kweli ata Zanzibar kuna maendeleo kushinda Tanganyika, Nimeishi Zanzibar sikuwahi kuona Wamama wakipata shida ya maji na huduma za hospitali na usafiri, umeme upo kila sehemu, sehemu zote za Tanzania Zanzibar hawana shida za huduma za kijamii huduma zote zimewafikia wananchi, tembea Zanzibar kote huwezi kukuta mama kabeba ndoo ya maji kichwani , na uko vijiji huduma zote zipo, yani Zanzibar kuna vitu vingi vya elektroniki mpaki vijijini, Zanzibar mtu kukupa nyumba uishi au kukuazima gari lake uendeshe ni jambo la kawaida tena uko ni mashambani.Umeandika pumba mdau.
Kwamba maendeleo ya nchi yanaenda na ukubwa wa eneo?
Kwamba ENGLAND inazidiwa maendeleo na Tanzania kwa kuwa ina eneo dogo?
Na wakati wanajenga huko,usagara kulikuwa na viwanja vya bei nzur,huwa najiuliza wakiwa wanamatatizo ya kiafya wanapandaje maana mwili unahitaji utumie nguvu nyingi hata wakat wa kushuka inatakiwa utumie nguvu za kujibalance usiseleleke sanaMwanza miambani wananoishi watia huruma sana japo wao wanaona wamepata viwanja city centre.
Huwa najiuliza walishindwaje kuweka makazi Usagara, Misungwi na Magu badala ya kubanana kwenye mawe kama mijusi ambako kupanda ni shida na inaweza kuchukulia lisaa kwenda sehemu unayoiona kwa mbele tu hapo.View attachment 2378247
Maisha haya Mkuu, nilikuwa nawinda wanyamapori na kupasua mbao za mininga na Mikora huko. Operation tokomeza majangili ndio ilinikimbiza huko. Hivi yule Kombe alikuwaga na Duka la Dawa baridi yupo na duka lake lipo? Huko Ilunde sio mchezo miaka hiyo, kunasa kwenye mchanga ilikuwa ni kitu cha kawaida. Kuna kipindi tukikosa maji Porini ikabidi tuvue mashati yetu tulipofika sehemu kilipokuwa na tope, tukaweka tope na kuanza kulikamua via mashati yetu ili tupate maji. Salimia sana Zozzi Family, Kafirika, Mallack Family, Dotto Njeni hapo Mpanda.Mkuu, ulienda kufanya nini huko
Nipo Mpanda mjini ila naona jau, Sasa ingekua nipo huko Sijui ingekuaje
Huyo hapajui Majimoto na sio pabaya ni sehemu nzuri na muda si mrefu panaweza kuwa Mamlaka ya Mji Mdogo. Pale ni pazuri sana na pana Mzunguko mkubwa sana wa Biashara hususan za Mpunga, Ufuta n.k pale kulikuwa na matajiri sana akina Madirisha kipindi hicho. Sasa panaonekana patakuwa pamefunguka sana kwani Kuna barabara ya lami na lile daraja la Kavuu la kutokea Inyonga limeisha na linatumika. Kulikuwa na kitongoji kimoja kinaitwa Centre kichaa kule maji moto kwa ndani. Aiseeee, kule unamkuta msukuma mwanaume kavaa sketi ya shule na kanga huku amesuka nywele na kuvaa heleni kama mwanamke. Kule jamaa wanavuta bangi tu, kwanza nyumba zao zilikuwa ni za Masuke ya Ufuta.Yes, Rukwa Kuna madini sana
Bro nchi hii kubwa sana, tembea uone.Aisee kati ya visa vyote hiki ndio kimeniacha hoi.🤣🤣🤣
Kwa Nini mkuu tupe jiografia yake na watu wakeHivi ilikuwaje makete yakawa makazi ya binadamu! Huwa najiuliza mbona nchi yetu ina eneo kubwa sana la ardhi watu walivutiwa na nini huko makete? Kuishi makete ni adhabu, narudia tena kuishi makete ni adhabu.
mabibo pale mwisho kuna kama bwawa hivi ,mshenzi mmoja ana kiwanda cha nguo maeneo yale anatiririsha maji ya kemikali ndani mle yanakaa e banaa eeeh yakioza yakavunda yale harufu yake nya na ndugu yake ushuzi wakasome tena chuo chao kikuu cha kutoa harufu.24/7 watu wamelewa tu huko,kinachowalewesha Ni harufu ya mavi Muda wote.
na wengi wanafunzi, itakuwa hata shule wanafika mchana..Vijiji vya njiani ukiwa unapita kwenda mikoani unakuta mtu anatembea kuelekea uelekeo ambao ww huoni nyumba
Wakifika wame sweat wamechoka hakukaliki wanawaza sfr za kurudina wengi wanafunzi, itakuwa hata shule wanafika mchana..
Kijiji cha Chimendeli, wilaya ya Bahi Mkoa WA Dodoma.
Sijui kule watu Wanaishi vipi. Unaweza Kudhani uko Somalia au Afghanistan.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wakifika wame sweat wamechoka hakukaliki wanawaza sfr za kurudi