Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Nimecheka hadi nakohoa.
 
Hao wakienda sehemu vyakula vizuri wanakula kama wametoka vitan,hicho chakula ni chakula cha njaa kali bana wanajinyima upumbavu tu
 
Mkuu izimbya nimeitembea maeneo yote barabara ziko vizuri japo ni changarawe, network kama VODA, tigo na HALOTEL zinasoma 4G isipokuwa maeneo kama kibirizi wanakaaa wanyarwanda, waha na wasukuma. Kuna hospital nzuri pale izimbya pia ni ya KKKT
Rudia kusoma comment yangu ya Kwanza,, Kama vipi nitolee ujuaji wako wa kihaya
 
Barabara ya kwenda Kilimanjaro nahisi ni wilaya ya Same Kuna nyumba moja nzuri tu imejengwa kwenye mlima kabisa ipo juu kileleni ipo peke yake ukipita barabarani kwa gari unaiona vzr tu...yule jamaa sijui alifikiria nini kujenga kule juu
wakati naenda arusha nilijiuliza sana,lakin kama kwa chini yake kuna nyumba ndogo ndogo.
 
Ng'apa Ni Porini mkuu?
 
Huko sidhan kama mazingira ya kuish ni magumu kiasi hicho kwan kiasi kikubwa huduma zote za kijamii zinapatikana
Uru shimbwe,kijiji kiko mlimani barabara ni nyembamba na kuna makorongo wakati wa mvua barabara inateleza,lakini watu wanapanda mlimani na magari
 
Kabxaa aysee...kama hapo mabatin ndo changamoto ...hadi unashangaa hayo material ya ujenzi aliyapoandishaje mliman huko?
[emoji2][emoji2][emoji2] ajabu sana. Lakini mawe ya kujenga msingi wanapasua wenyewe. Saruji ndio taabu
 
Vijiji vya milimani ni noma! Utakuta watu wanaishi kwenye kilele cha mlima ambapo hata bodaboda haiwezi kupanda. Wanatembea umbali mrefu kufuata maji na mahitaji ya dukani. Kama hujazoea unaweza ukazimia kwa kupanda mlima mkali na mzigo kichwani.
 
Sijui ukizaliwa wap.? Hakuna chakula kitam kama hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…