Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Mkuu nyie ndiyo mlichoma shule😂Mwakaleli sec. Mbona pana barid la kawaida tu ,vipi ungepangwa makete si ungekufa wewe.
Me nimesoma hapo mwaka2009- 2011 niliinjoy Sana life la mwakaleli sec.
Matamba ,isange ,kandete vilikua viwanja vyangu sana.
Napamic Sana
Chini ya Mwantimwa- mkuu wa shule.. RIP
Like baridi hapana mkuu.. kwetu kanda ya ziwa nilifika nikajiona nipo nje ya dunia ukungu mtupu kuonana shida mvua muda wote,
Ila maisha ya mwax sio