Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Mwakaleli sec. Mbona pana barid la kawaida tu ,vipi ungepangwa makete si ungekufa wewe.

Me nimesoma hapo mwaka2009- 2011 niliinjoy Sana life la mwakaleli sec.

Matamba ,isange ,kandete vilikua viwanja vyangu sana.
Napamic Sana
Mkuu nyie ndiyo mlichoma shule😂
Chini ya Mwantimwa- mkuu wa shule.. RIP

Like baridi hapana mkuu.. kwetu kanda ya ziwa nilifika nikajiona nipo nje ya dunia ukungu mtupu kuonana shida mvua muda wote,

Ila maisha ya mwax sio
 
Kule kwa diblo dibala ruangwa yani unajiuliza hivi kweli maeneo kama haya anaweza kutokea kiumbe ambaye anaweza kukuambia kitu cha maana ukamuelewa kweli? Duh ndiomaana jamaa muongo muongooooooo kiufupi kule ni Jehanam , poleni sana ndugu zake na katelephone
 
Kumbe kijijini nilipokulia pakishua hapatajwa, Arusha..Miaka nakua kilikua poa ila tabia nchi, kwa sasa jua na mvua nadra, vumbi sana.

Vijiji kuzunguka mirerani, Makiba, Valeska,Lositeti, Mbuguni,Migungani,Shambarai...ma hommies.
 
Kuna watoto wamezaliwa masaki hiz habar wanafikir ni nyakat zile za nuhu
Weye nae hujayaishi ui iii maisha ya ushuani weye.......Labda Mzungu!!!........ lkn hawa wala ugali hawa?? kwani Bibi/shangazi/ mjomba/rafiki huko mahurunga wa kijijni hawaendagi wakayaonaaa??

Baba gani haendi kwao! hata ukiwa hapo Masaki palee nyuma ya ubalozi hwatembei, Manzese , mabibo hawayaoni kwani??au kujifanya fanya tu....???
 
Ila hivi ndio vyakula vinavyoupa mwili nguvu
 
Mwakaleli sec. Mbona pana barid la kawaida tu ,vipi ungepangwa makete si ungekufa wewe.

Me nimesoma hapo mwaka2009- 2011 niliinjoy Sana life la mwakaleli sec.

Matamba ,isange ,kandete vilikua viwanja vyangu sana.
Napamic Sana
Kwa hiyo miaka ni agemate wangu, advance nimemaliza 2011 pia,Minaki Sec, pale ilikua joto tu na maji yenye fangasi sijui, pumbu zinawasha mpaka unataka uzitoe.hahah
 
Ka
Ila hivi ndio vyakula vinavyoupa mwili nguvu
Kabisa, sijui ni kukulia kijijini mm sijawahi shindwa kula msosi wowote..napenda sana,..kutokula au kutofurahia chakula cha mwenyeji, wako kinamlostisha sana wkt yeye anaishi humo daily..nabadilika na mazingira, kuna sehemu unanikuta nipo ovyo ila tukianza kuongea kama una akili unaanza elewa mtu huyu anaidea idea kidg..

Kuna jamaa alinikuta interior nimepiga zangu, pozi tukazoeana badae akasema mbona huko hapa na unaonekana kama una vitu ambavyo hapa havina msaada kwako.
 

Kijijini kwenu kwa kweli ni balaa!
 
Ilunde Wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi. Kijiji kipo Porini, Kilomita 70 toka makao makuu ya Wilaya ya Mlele. Hakuna network wala nini na ni Porini hasa. Sijui walifuata nini kule.
Sasa kalya je daa watu wanaishi porini jamani
 
Bora hata mpanda, kuna mahali panaitwa MAJIMOTO aisee huko nilipoenda nilijiuliza qatu wamefuata nini, na wengi wao ni wasukuma kule...Ajabu ni kwamba they are making money ile hatari. Ni matajiri wa kutupwa kutokana na kilimo ufugaji na madini.
Walifuata mashamba ya mpunga
 
Lami ipo mpaka Usangi mbele ya Lomwe Secondary. Magari kama daladala muda wote unashuka mwanga. Bodaboda kibao zinakatisha tu milimani. Umeme, maji ya bomba vipo toka zamani. Shule ni nyingi balaa.
Kama isingekuwajitihada za Mzee Msuya, usafiri ungekuwa wa shida kule Usangi.
 
Nimekwenda Lindi Kuna sehemu inatwa milola aisee ni.mbali jamani
 
Katavi hapana vijiji vingi vinanyumba zilizobora maji Sasa hivi serikali imejitahidi Sana kwa huduma hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…