Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
- Thread starter
-
- #741
Kukoje huko mkuuMasange ..huko kondoa irangi..ma.mae
Kwamba walikuwa wanapita tu wakajikuta wamedondokea happy,,,😂😂😂😂😂Nmecheka kwa sauti mkuu
Nimecheka mbavu ,zinauma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna kijiji kinaitwa Mwanza ya Madaso kipo Ushirombo ndani ndani yaani hiki kijiji almost ni kama jamii za wawindaji hawajui hata Afcon ni nini
Barabara na madaraja yao ya minaziMwakaleli- Tukuyu Mbeya. Aisee baridi lilinushinda pale Mwax sec.
Kama uko afghanistan..kijij kizima ni mislims tu wale wanaovaa shung za kufunika mwil..ila videmu vya kirang vzur balaaa...Ku
Kukoje huko mkuu
Nyumbani kwa baba wa taifa? Hatiiii??Pole mkuu Ni makosa ya kiuandishi, unajua unapoandika anahisi kila mtu amefika hiyo sehemu. Ni sawa na aliyeshiba hamuoni mwenye njaa, Ila Ni Wilaya ya Butiama, mkoa wa Mara.
Hivi tanesco inawapelekea hawa jamaa umeme? Sijaona nguzo? Wanaishije?Mwanza miambani wananoishi watia huruma sana japo wao wanaona wamepata viwanja city centre.
Huwa najiuliza walishindwaje kuweka makazi Usagara, Misungwi na Magu badala ya kubanana kwenye mawe kama mijusi ambako kupanda ni shida na inaweza kuchukulia lisaa kwenda sehemu unayoiona kwa mbele tu hapo.
View attachment 2378247
Ukubwa wa Tanzania ni zaidi ya nchi ya Kenya + Uganda + Rwanda + BurundiTanzania hii ni kubwa sana nashangaa watu kujilinganisha na Rwanda, na Kenya kimaendeleo wakati hizo nchi zinaingia mara mbili kwa Tanzania
Ng'apa, Lindi!
Nenda gongolamboto ndani ndani utakimbia kama ukielekzwa ukatoe posa!Dar jamani maeneo kama Mabibo, Kigogo, Tandale, Mchikichini n.k kuna mfumo mbovu wa maji taka huleta harufu mbaya na hewa nzito na joto kali
Tanzania ina mikoa zaidi ya 25. Unataka kuniambia yote imetajwa? Vijana wanaoongoza kwa ulevi ni kilimanjaro mpaka wanawake wanakimbilia Kenya!Kilimanjaro so far sijaona maeneo yake yakitajwa.
Bora umesema ukweli!Ukifika siha na hai Barbara ya kwenda merarani hutatamani
Pia same na mwanga ni pa hovyo mno
Huko ni mafukara wa kutupwaSiha na hai umefika? Same na mwanga je?
Hilo jambo huwa linanishangaza sanaVijiji vya njiani ukiwa unapita kwenda mikoani unakuta mtu anatembea kuelekea uelekeo ambao ww huoni nyumba
Unakuta watoto wawili au mwanamke na mtoto mgongoni anakatiza pori....Hilo jambo huwa linanishangaza sana
Niliangushaga minazi kama 500 pale, (mradi wa Bomba la gesi)2013...eti nazi moja Tsh mia moja! Bei ya shambani(Sokoni).... Dah haya maisha!... By then sikuwa na kazi nazo...na ni za Bure maana wameshalipwa.... NikauzaUkiwauliza wanasema wana kilimo cha minazi
Morogoro ni kubwa mzeeKutoka Mahenge mjini kwenda Mzelezi au Ruaha distance ya kilometers 30 nauli elf 50 kwa pikipiki masaa mawili ,wakati Toka mahenge Hadi Dar kwa bus masaa kumi na mbili nauli elf 35.