Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Kwenda zako huko 😁😁😁🖐
 
Hiyo kitu Mkuu niilikuta Galanos tulikuwa tunaita erosion, tulikuwa tunatumia kidawa flani cha chupa ya kijani,kende utatamani uzinyofoe.
Pumbu erosion ilikuwa usagara sec tanga....sasa galanosi si baridi kiasi ila galanosi ni kijijini nilikuwa naona bora mi wa hapa mjini usagara.
 
Kuna mtu aliwahi niambia zamani kidogo huko usukumani kuna vijiji walikuwa wanapeleka viatu, nguo na bidhaa nyingine nyingi, sasa mtu akihitaji kununua kiatu, yaani kakipenda anakuuliza huu mguu mmoja wa kiatu shingapi na huu mwingine shingapi yaani hajui kinauzwa kwa pair.

sasa picha linaanza anakupa pesa burungutu anakwambia toa hapo pesa zako za viatu maana yeye hajui kuhesabu pesa 😅😅😅😅
 
Mkuu bei laki Tano TU huko milimani. ukienda usagara 3m
 
Ngorongoro panatisha. Unafika maeneo ni pakame, upepo mkali na unapishana na wanyamapori.
 

kibondo kigoma yani, ilikua mwaka 2015 , kwanza kufika uko ni barrier za maana tulikutana nazo barabarani adi nikajiuliza ivi uku ni Tanzania au nchi nyingine.
 
Yani kwa ukubwa wa Tanzania na mapori yaliyopo hayana watu..kuja kuijaza sio leo...hata tuzaanaje...
 
wapare kule milimani
 
Mwakaleli ndio chimbuko la Wanyakyusa wengi. Ni kuzuri mno kutokana na mandhari yake, watu wake wakarimu na wacha Mungu, hali ya hewa safi na mito mingi yenye maji safi na chemchemi kila mahali. Ni Kaanani yetu!
Ni Kweli Ni maharufu San hicho kijij na wengi ni wa lutheri Seema saasa Kuna wachawi sna pale ukicheza unabebeshwa mimba
 
Mkoa wa Kilimanjaro
Wilaya ya Same kuna kijiji kinaitwa Chambogo......kipo kule juu ya milima kabisa..... unaweza kufika kupitia kijiji cha Mwembe barazani au Nasuro kutokea njia ya Same Wilayani........

Ukiwa pia pale Mwembe barazani kuna kijiji kule juu njia ya mbaga kinaitwa Kwainka....huko unashangaa watu walifuata nini huko kote......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…