Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ni kati ya Turiani na korogwe kuna boda pori kwa pori ukitokea turiani.Mkuu tusaidie jina la kijiji hii ni adventure aisee, nimecheka sana
Hatari mkuu, pumbu tenaPumbu erosion ilikuwa usagara sec tanga....sasa galanosi si baridi kiasi ila galanosi ni kijijini nilikuwa naona bora mi wa hapa mjini usagara.
Eeh mkuu zinasinyaaHatari mkuu, pumbu tena
Duuuuuh noma sana, inamaana ustaarabu FMkoa wa Songwe..... ukiwa unamaliza kupanda mlima wa Senjele unataka kushoto kuna sehemu inaitwa Iyula.....huko kuna kijiji kinaitwa Idiwili.......yaani kule nimeshangaa watu wamefata nini kule........watu mpaka saa nne hakuna aliyeamka baridi kali....watu wanalala huku wameacha milango wazi ili kuku watoke pakikucha......mitaani kumezagaa nguruwe tu na vitoto vya nguruwe.....
Itakuwa Morogoro vijijiniMalolo morogoro Tz asee wanasema hajawahi fika kiongozi yoyote wa nchii hii hata mkuu wa wilaya tu
Wanaishije huko mkuuKijiji Kinaitwa Idete, Kata ya Mfuluni Kilosa, Hakuna barabara wala Huduma za kijamii
Hahaha kwenye kuifundisha darasani Sasa ndo noma zaidiKijiji cha Orarashi ndani ya Monduli, watoto kiswahili hawajui kabisa, ilinilazimu nijifunze kimasai ili twende sawa,
Mvua zikinyesha aliye juu zaidi anafungulia choo chake ili kuondoa kinyesi. Sasa fikiria adha wanayoipata hao waliopo chini zaidi.Mwanza miambani wananoishi watia huruma sana japo wao wanaona wamepata viwanja city centre.
Huwa najiuliza walishindwaje kuweka makazi Usagara, Misungwi na Magu badala ya kubanana kwenye mawe kama mijusi ambako kupanda ni shida na inaweza kuchukulia lisaa kwenda sehemu unayoiona kwa mbele tu hapo.
View attachment 2378247
Hapa igogo au Mabatini ama Nyamazobe MWANZA jiMwanza miambani wananoishi watia huruma sana japo wao wanaona wamepata viwanja city centre.
Huwa najiuliza walishindwaje kuweka makazi Usagara, Misungwi na Magu badala ya kubanana kwenye mawe kama mijusi ambako kupanda ni shida na inaweza kuchukulia lisaa kwenda sehemu unayoiona kwa mbele tu hapo.
View attachment 2378247
Ilturot Lorkereyan- kijiji kipo Ngorongoro
Hatari Sana MWANZA,Mvua zikinyesha aliye juu zaidi anafungulia choo chake ili kuondoa kinyesi. Sasa fikiria adha wanayoipata hao waliopo chini zaidi.
Nguzo zipo we pimbi mpaka maji. Nimezaliwa huko nimekulia huko. Nguzo zimepanda mpaka mlimani na mabomba ya maji pia.Hivi tanesco inawapelekea hawa jamaa umeme? Sijaona nguzo? Wanaishije?
Nimepamiss Sana huko miakaKijiji Kinaitwa Idete, Kata ya Mfuluni Kilosa, Hakuna barabara wala Huduma za kijamii
Duuuuuh hatari mkuu na Kuna watu wanaishi?Nilienda Malawi,njaa ikatupiga sana, kijijini kulikuwa na njaa tukaishia kula viembe vinavyocomoza kwenye maua.....hela unayo ila hakuna cha kununua
Wanaishi ila maisha ya kifukara sanaDuuuuuh hatari mkuu na Kuna watu wanaishi?
Nchi yetu kubwa Hadi kwa wanyambwaMugoma-Ngara-Kagera
dah n mbali kinoma