Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Kuna kijiji kinaitwa lukale wilaya ya meatu mkoani simiyu jaman watu wanaishi mazingira magumu sana yani kipindi cha mvua hata center tu hawawezi kwenda sijui mahitaji wanapata wap
 
Kuna kijiji kinaitwa lukale wilaya ya meatu mkoani simiyu jaman watu wanaishi mazingira magumu sana yani kipindi cha mvua hata center tu hawawezi kwenda sijui mahitaji wanapata wap
Ni ngamia????? Yaani hata Huduma hamna?
 
[emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kaka code bado ngumu kwangu nifungulie kidogo huyo mtu wa havard

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Pugu Dampo, Harufu ni kali pia Moshi wa takataka ni shida!
 
Mkuu ujue hapa hutumii nauli kufika mjini unashuka chap uko mjini...
 
Pahi,Saralee,Mauno,Bumbuta.. Kondoa hiyo aisee watu wa kule wana dhiki mno sijui kwanini wanang'ang'ana kukaa sehemu kame na ya hovyo kame ile.
Mkuu mbona vijiji ulivyotaja ni vizuri tu au ulipita usiku
 
Barabara ya kwenda Kilimanjaro nahisi ni wilaya ya Same Kuna nyumba moja nzuri tu imejengwa kwenye mlima kabisa ipo juu kileleni ipo peke yake ukipita barabarani kwa gari unaiona vzr tu...yule jamaa sijui alifikiria nini kujenga kule juu
Upande wa pili Kuna njia ya kufika pale
 
Kuna kijiji kinaitwa lukale wilaya ya meatu mkoani simiyu jaman watu wanaishi mazingira magumu sana yani kipindi cha mvua hata center tu hawawezi kwenda sijui mahitaji wanapata wap
[emoji23][emoji23]
 
Kuna sehem huko bagamoyo inaitwa milo yani pori lKe siopoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…