Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Kijiji kinaitwa Magwamila kiko Nambendo Wilaya ya Songea ndani ndani uko, wale wayao 95% wote ni watu wa Msumbiji ni mbali kishenzi

Kijiji kinaitwa Magwamila kiko Nambendo Wilaya ya Songea ndani ndani uko, wale wayao 95% wote ni watu wa Msumbiji ni mbali kishenzi
nafikiri umechanganya mkuu, Nambendo ipo mbele ya ndongosi wakati magwamila ipo muhukuru. ila vyote ni vijiji vipo chaka sijapata kuona na mvua zikinyesha huko huwa hakuendeki mpaka kukauke
 
Simba ulanga, bunduki, aisee kuna mbuu sijapata kuona, basi unapukuta mbuu kama siafu wmekudanda... hyo kwenye delta za mto rufiji kibiti ndanindani umoo kuelekea mafia island.
 
Mkuu kijiji
Habari za muda huu wana JF,

Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio hapa walivutiwa na Nini mpaka wakaweka makazi ya kudumu maeneo haya.

Mfano, Mimi niliwahi kutembelea Kijiji cha Baranga kata ya Sirorisimba kupitia Kyagata. Nilistajabu na kujiuliza Hawa watu huku wanaishije?

Ukame ndio kwao, maji shida, Hali ya hewa mbovu, jua kali ndio kwao, vurugu Sasa ndio chimbuko lake. Siku moja tulikuwa na mechi ya kirafiki na timu ya Kijiji jirani ile tupo kwenye gari tukashangaa tunaanza kurushiwa mawe barabarani.

Kwa kuwa sisi tulikuwa wageni tuliogopa sana lakini wenyeji wakatuambia msiogope hao wote tutakutana kwenye mnada. Siku nyingine tulikuwa Mnadani Sirorisimba siku hiyo kulikuwa na mgogoro wa mpaka wa shamba kati ya ukoo na ukoo huku polisi wakiwa na mitutu ya bunduki lakini ilivyo ajabu watu wa kule nilishudia wakibebana na kuhamasishana wabebe mishale waende wakaanzishe vurugu.

Wewe ulipita wapi na ulistaajabu nini?
Kinaitwa baranga kata ni buswahili siyo sirorisimba ni kijij cha hovyo sana niliwahi kuwa mtendaji wa kata hiyo napajua vizur mnooo ndo maana nikajiita wegero
 
Mkuu kijiji

Kinaitwa baranga kata ni buswahili siyo sirorisimba ni kijij cha hovyo sana niliwahi kuwa mtendaji wa kata hiyo napajua vizur mnooo ndo maana nikajiita wegero
Hakika umekumbusha vyema mkuu udongo wa kule mvua ikinyesha usivae viatu Wala malapa. Kuna ki centre chao ukipita Baranga Sec unavuka ng'ambo Basi Kuna siku ni kucheza Liland na Ritungu.
 
Kwangu upande wa Wilaya ni MAKETE, Hii Wilaya sijailewa kabisa.. Mji wenyewe haueleweki, jiografia yake ni mbaya bila kusahau baridi ni Kali mno tena Ile ya kugandisha meno.

Kwa upande wa Kijiji, Kuna Kijiji Cha Iporoto kipo wilaya ya Mbozi mkoani Songwe,, nikifika Huku duuuh hatari sana, Kijiji kipo mbali sana na main road huduma za jamii ni finyu.

Tembea ujionee
 
Kwangu upande wa Wilaya ni MAKETE, Hii Wilaya sijailewa kabisa.. Mji wenyewe haueleweki, jiografia yake ni mbaya bila kusahau baridi ni Kali mno tena Ile ya kugandisha mwili
Yaani kule nako hatarrr niliwahi kufika Bulongwa, Hadi ikuwo Hadi kunguru haruki na Kuna vibibi na vibabu havizeeki. Uzuri wake no Typhoid no malaria.
 
Kwangu upande wa Wilaya ni MAKETE, Hii Wilaya sijailewa kabisa.. Mji wenyewe haueleweki, jiografia yake ni mbaya bila kusahau baridi ni Kali mno tena Ile ya kugandisha meno.

Kwa upande wa Kijiji, Kuna Kijiji Cha Iporoto kipo wilaya ya Mbozi mkoani Songwe,, nikifika Huku duuuh hatari sana, Kijiji kipo mbali sana na main road huduma za jamii ni finyu.

Tembea ujionee
Vipi wakinga wamekumbuka kujenga huko kwao au ndio kutuletea ubabe tu kariakoo
 
Kijiji cha Chimendeli, wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma.

Sijui kule watu Wanaishi vipi. Unaweza Kudhani uko Somalia au Afghanistan.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Niliwahi fika huko na kukaa kati ya 2015-2018, usafiri gar zinatoka saa 10 alfajiri kwenda Dodoma mjini maji ni shida. Kijiwe chao kikibwa ni Mtambalizeni
 
Back
Top Bottom