Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Mbinga ni one of the best place kwa mkoa wa Ruvuma ila hizi Tunduru na Namtumbo zinafaa kuwa makazi ya tembo tu
Sana,mbinga ni moto, na hivi vinyumba vya chini katikati ya mji wameambiwa wabomoe kama hawanauwezo wauze,

Kama una kijumba chako mjinga anakujua na ml,300 na anakujengea na nyumba huko mapembeni.
 
Siku moja niko na jamaa yangu tunatafuta mashamba ya kukodi ya alizeti tulikua na mwenyeji anatutembeza mashambani. Mchana tunataka kurudi mwenyeji akatuambia twende kwanza kwake tule ndio tuondoke. Tukaona si mbaya.
Tumefika tukaenda sebuleni Chakula kikaja nikasahau kabisa kama Chakula chao kikuu ni mlenda.
Bwana bwana ulikuja ugali mgumu na mlenda mimi nilikua sijawahi kula mlenda wala ugali wa mtama😅

Nilihangaika mwenye ananiambia mbona hauli au chakula kibaya? Mimi naguna guna tu😂, nilishwindwa kula aisee ilibidi nikaupiga picha hii hapa chini.
Yaani utadhani unakula hina. Watu wanawakiwa na jua huko ndio maana miguu yao imekomaa halafu myembamba kama mianzi imechomekwa kwenye mapaja 🏃🏃View attachment 2379797
huoni mlenda una layer sijui ya algae fungus au
Ukubwa wa Tanzania ni 945,087 km²... Yaani ukiunganisha Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda labda ndiyo itakaribia... Kwa ukubwa wa hii nchi ili kila eneo lipate maendeleo ya haraka ilikuwa ni vema kuwa na mfumo wa majimbo, yaani mfano Kigoma, Katavi na Rukwa jimbo moja hilo ambalo linapewa mamlaka ya kutumia sehemu ya asilimia from their resources kwa maendeleo yake...
kazi



maisha ya vijijini kazi ipo. nimemkumbuka MAO alivyowapa wachina program ya RE EDUCATION toa vijana peleka vijijini
 
Back
Top Bottom