Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
I miss maisha yangu kipindi naandika hii comment 🙏Lupiro huko kusini Iringa, bado inafanyika barter trade .
Maisha ni duni sana huko
Yote mema
I miss maisha yangu kipindi naandika hii comment 🙏Lupiro huko kusini Iringa, bado inafanyika barter trade .
Maisha ni duni sana huko
Kuko fresh sana haha 😄Bumbuli wale waliojenga milimani kule,aisee
Miaka ya nyuma sana kwenye utafutaji huko kondoa nkajikuta niko dom vijijini sehemu inaitwa Segala sehemu hyo ilikuwa hakuna maji,wala huduma ya afya,kulikuwa na bus lilikuwa linapita juu kwa juu ukilikosa basi subiri baada ya siku 3 hivi tena 😄
Ova
Ukienda sehemu ukakuta usafiri wa kukufikisha ni bus TATA au Eicher au Landrover zile za kizamani ujue unaenda sehemu iliyochoka sanaMiaka ya nyuma sana kwenye utafutaji huko kondoa nkajikuta niko dom vijijini sehemu inaitwa Segala sehemu hyo ilikuwa hakuna maji,wala huduma ya afya,kulikuwa na bus lilikuwa linapita juu kwa juu ukilikosa basi subiri baada ya siku 3 hivi tena 😄
Ova
Ulikuwa pale mwaka gani?Mwakaleli- Tukuyu Mbeya. Aisee baridi lilinishinda pale Mwax sec.
Orumotony hukoo mirongoo karibu na moitaHabari za muda huu wana JF,
Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio hapa walivutiwa na Nini mpaka wakaweka makazi ya kudumu maeneo haya.
Mfano, Mimi niliwahi kutembelea Kijiji cha Baranga kata ya Sirorisimba kupitia Kyagata. Nilistajabu na kujiuliza Hawa watu huku wanaishije?
Ukame ndio kwao, maji shida, Hali ya hewa mbovu, jua kali ndio kwao, vurugu Sasa ndio chimbuko lake. Siku moja tulikuwa na mechi ya kirafiki na timu ya Kijiji jirani ile tupo kwenye gari tukashangaa tunaanza kurushiwa mawe barabarani.
Kwa kuwa sisi tulikuwa wageni tuliogopa sana lakini wenyeji wakatuambia msiogope hao wote tutakutana kwenye mnada. Siku nyingine tulikuwa Mnadani Sirorisimba siku hiyo kulikuwa na mgogoro wa mpaka wa shamba kati ya ukoo na ukoo huku polisi wakiwa na mitutu ya bunduki lakini ilivyo ajabu watu wa kule nilishudia wakibebana na kuhamasishana wabebe mishale waende wakaanzishe vurugu.
Wewe ulipita wapi na ulistaajabu nini?
Kijiji cha wanajeshi kile. Labda ulienda kutembea tu na kuondoka, makamanda tunapaona town pale bata kwa mbele tu pale Ngerengere au Kizuka au town kabisa Ubena ZomoziKijiji cha Sanga Sanga mkoani Morogoro..
Alafu bado kipindi cha uchaguzi wanaichagua CCM. Umasikini wa watanzania na elimu mbovu ndio mtaji wa CCM. My poor TanzaniaPahi,Saralee,Mauno,Bumbuta.. Kondoa hiyo aisee watu wa kule wana dhiki mno sijui kwanini wanang'ang'ana kukaa sehemu kame na ya hovyo kame ile.
😄Ukienda sehemu ukakuta usafiri wa kukufikisha ni bus TATA au Eicher au Landrover zile za kizamani ujue unaenda sehemu iliyochoka sana
Mbona washazoea na hawajawahi kulalamika? O’bhebhe!Mwanza miambani wananoishi watia huruma sana japo wao wanaona wamepata viwanja city centre.
Huwa najiuliza walishindwaje kuweka makazi Usagara, Misungwi na Magu badala ya kubanana kwenye mawe kama mijusi ambako kupanda ni shida na inaweza kuchukulia lisaa kwenda sehemu unayoiona kwa mbele tu hapo.
View attachment 2378247
Hmm mbona geita ndio usafiri wao huo kutokea mwanza na hawajachoka kama unavyoelezea!Ukienda sehemu ukakuta usafiri wa kukufikisha ni bus TATA au Eicher au Landrover zile za kizamani ujue unaenda sehemu iliyochoka sana
Noaj na hiace ndogo ndogo zimesaidia kupunguza adha ya usafiri maeneo mengi sehemu ambazo hazina Coaster utakutana na Noah na Hiace😄
Nlikosaga usafiri huko wakati
Fulani,sasa nlikuwa natakiwa dar ilibidi siku hyo ntoke na baiskeli maana kipindi hicho boda hakuna,nlinyonga baiskeli kutoka hapo segala mpaka aneti 😄 yaani nakatiza pori kwa pori
I hope sahv maeneo hayo angalau yameendelea
Ova
Kilimanjaro ni mkoa wa pili kwa udogo katika Tanzania Bara...so ni rahisi kufikisha maendeleo kwaoHao jamaa mpakanyumba iliyopakana na msitu Ina umeme sio poa
Lipiro iko wapi tufanye visit mkuu. Tupe ABC guru.I miss maisha yangu kipindi naandika hii comment 🙏
Yote mema