Mkuu fursa nenda na boksi la rizlaKuna sehemu nilifika Katesh, Arusha huko, zamani sana. Nilishangaa kukuta wavuta sigara hata magazeti ya kusokotea sigara hawana bali wanatumia mabua ya mahindi. Nilikuwa na gazeti wakafurahi kweli kweli nilipowapa.