Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Nyandira ukweni kwangu kwa Marehemu mzee Zengwe.
 
Wasukuma hawana uchawi wa misukule, halafu ulijuaje hapa kwa mchawi hapa kwa mganga acheni kuchafua watu kwa hisia tu.
 
Mm sehem inayonishangaza ni moshi yani ukitoka kilometa mbili tu au tatu kutoka mjini unakuta ni kijiji cha maana yani ile maisha ya kijijini kabisa ya bibi na babu juma na roza. [emoji1][emoji1][emoji1]

kwa miji iliyo mingi unakuta vijiji vinakuwa kilometa za kutosha kutoka mjini lakin sio moshi
 

Kuna kata inaitwa mwamanongu meatu kila mtu ni mchawi tena wachawi wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…