Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Mwanza miambani wananoishi watia huruma sana japo wao wanaona wamepata viwanja city centre.

Huwa najiuliza walishindwaje kuweka makazi Usagara, Misungwi na Magu badala ya kubanana kwenye mawe kama mijusi ambako kupanda ni shida na inaweza kuchukulia lisaa kwenda sehemu unayoiona kwa mbele tu hapo.

View attachment 2378247
Yaaan utoke mjini ukaishi misungwi!!! Me nimezaliwa huko mlimani mtaa wa unguja na nimekulia huko huko pale mbugani primary ya zaman kwa juu.

Kwa ww mgeni ndiomanaa umeshangaa alafu kusema unatumia saa zima sehem unapopaona si kweli ni uvivu wako tu.

Mwanza pazuri sana na hao wanao kaa huko me naona safi tu.. ukiwa mgeni ukaangalia huko kwenye miamba utapashangaa na kusema wanaishije au kama kwenye hiyo picha ukipanda mpka huko juu pamekaa vzr tu hizo nyumba ila ukiwa chini unaona kama nyumba zimebebana
 
Nilienda sehem moja inaitwa kwadelo ipo kondoa nilikaa wiki nikaona nimekaa mwezi!!

Kwanza watu wa kule mashamba yao makubwa yapo mbali na makazi kias kwamba kipindi cha kulima na kuvuna inabidi wahamie huko mashambani, yaan ni mbali sana.

Cha ajabu wenyewe wanaishi wana furaha ila mimi nilishindwa aisee..
 
Kuna Kijiji kinaitwa Makose, kipo Mpwapwa...duuu ni pakame si mchezo
 
Yaaan utoke mjini ukaishi misungwi!!! Me nimezaliwa huko mlimani mtaa wa unguja na nimekulia huko huko pale mbugani primary ya zaman kwa juu.

Kwa ww mgeni ndiomanaa umeshangaa alafu kusema unatumia saa zima sehem unapopaona si kweli ni uvivu wako tu.

Mwanza pazuri sana na hao wanao kaa huko me naona safi tu.. ukiwa mgeni ukaangalia huko kwenye miamba utapashangaa na kusema wanaishije au kama kwenye hiyo picha ukipanda mpka huko juu pamekaa vzr tu hizo nyumba ila ukiwa chini unaona kama nyumba zimebebana
Ni kupambana na mijusi ya rangi kwenye mawe
 
Nilienda sehem moja inaitwa kwadelo ipo kondoa nilikaa wiki nikaona nimekaa mwezi!!

Kwanza watu wa kule mashamba yao makubwa yapo mbali na makazi kias kwamba kipindi cha kulima na kuvuna inabidi wahamie huko mashambani, yaan ni mbali sana.

Cha ajabu wenyewe wanaishi wana furaha ila mimi nilishindwa aisee..
Dodoma kwa ujumla Ni shida Kuna Kijiji kinaitwa chiwe kongwa weeee Acha to nchi yetu Pana sana
 
Nimfika sehemu nyingi sana ambazo binafsi siwezi kuishi kwa kupenda, ila ninaheshimu mapambano yao katika maisha, hapa TZ kuna sehemu hamna serikali....watu wanaishi kwa kuheshimiana ukizingua ni sheria mkononi
 
Sawa. Ila mwanza sehemu kubwa ni milima na mapango. Ni Mungu tu anawalinda wanaMwanza walio wengi. Yale mawe ukiyaangalia yalivyokaa ndio utajua kuna nguvu kubwa inaulinnda ulimwengu na mabaya
Na huko huko kuna tu vyoo tumejengwa juu ya mawe sijui wanatuchimba vipi? Mtu anaishi juu ya jiwe.na hataki kutoka? Mafundi sijui wajengaje utwo tujumba? Ch ajabu hawana mpango wa kutoka.

Mimi najiuliza mtu akiumwa wanamtoaje huko kwenye mawe? Sema yako karibu na bugando.🤣
Najiulizaga mtu anaishi sehemu mbovu vile ana ndoto ya kununua gari kweli? Atalipaki wapi?
 
Ng'apa Ni Porini mkuu?
Muongo kabisaaaa anadanganya live bodaboda kutokea ngongo buku jero,daladala zinatoka rutamba 2000 nadhani ,yaani nimeshangaa sana alivyodanganya Kijiji kina umeme na pale ngongo wamefunga maji watu wa maji,maji ya ng'apa Safi kabisaa,yaani anaongea TU kufurahisha baraza
Msimbati Nako kuzuri Sio kubaya hvyo
 
Back
Top Bottom