Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
- Thread starter
- #501
Nasikia Kuna baridi hatarrYaeda chini- mbulu vijijini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia Kuna baridi hatarrYaeda chini- mbulu vijijini
Sehemu gani mkuuHuko unyakyusani kuna watu wanakaa huko milimani balaa.
Kupanda huko utadhani unaenda mbinguni.
Ila unakuta kuna kijiji huko juu watu wanaishi hawana habari
Nilifika Iponjola halafu tukaenda kusalimia ngambo ya pili ndo huko milimani njia ya kwenda magereza kiwiraSehemu gani mkuu
Kikelelwa mbona barabara ya lami ipo hadi Rongai?Kijiji Cha kikelelwa wilaya ya rombo mkoani kilimanjaro aisee watu Wana shida sio poa
Yaaan utoke mjini ukaishi misungwi!!! Me nimezaliwa huko mlimani mtaa wa unguja na nimekulia huko huko pale mbugani primary ya zaman kwa juu.Mwanza miambani wananoishi watia huruma sana japo wao wanaona wamepata viwanja city centre.
Huwa najiuliza walishindwaje kuweka makazi Usagara, Misungwi na Magu badala ya kubanana kwenye mawe kama mijusi ambako kupanda ni shida na inaweza kuchukulia lisaa kwenda sehemu unayoiona kwa mbele tu hapo.
View attachment 2378247
Kishiri hakuna hiyo milima ww , hapo ni City centreHahah..hi ngoma ni kishiri kama sikosei
Lami iko mpaka lomwe-usangi na ugweno imefikaMwanga kwenda wapi? Maana kama ni kwenda milimani usangi au ugweno kuna lami mpaka pale Kikweni... Same napo kumekuwa sanaa
Ni kupambana na mijusi ya rangi kwenye maweYaaan utoke mjini ukaishi misungwi!!! Me nimezaliwa huko mlimani mtaa wa unguja na nimekulia huko huko pale mbugani primary ya zaman kwa juu.
Kwa ww mgeni ndiomanaa umeshangaa alafu kusema unatumia saa zima sehem unapopaona si kweli ni uvivu wako tu.
Mwanza pazuri sana na hao wanao kaa huko me naona safi tu.. ukiwa mgeni ukaangalia huko kwenye miamba utapashangaa na kusema wanaishije au kama kwenye hiyo picha ukipanda mpka huko juu pamekaa vzr tu hizo nyumba ila ukiwa chini unaona kama nyumba zimebebana
Huko si Kuna Hadi Hiace za kishiri Buhongwa kupitia MekoKishiri hakuna hiyo milima ww , hapo ni City centre
Dodoma kwa ujumla Ni shida Kuna Kijiji kinaitwa chiwe kongwa weeee Acha to nchi yetu Pana sanaNilienda sehem moja inaitwa kwadelo ipo kondoa nilikaa wiki nikaona nimekaa mwezi!!
Kwanza watu wa kule mashamba yao makubwa yapo mbali na makazi kias kwamba kipindi cha kulima na kuvuna inabidi wahamie huko mashambani, yaan ni mbali sana.
Cha ajabu wenyewe wanaishi wana furaha ila mimi nilishindwa aisee..
Na huko huko kuna tu vyoo tumejengwa juu ya mawe sijui wanatuchimba vipi? Mtu anaishi juu ya jiwe.na hataki kutoka? Mafundi sijui wajengaje utwo tujumba? Ch ajabu hawana mpango wa kutoka.Sawa. Ila mwanza sehemu kubwa ni milima na mapango. Ni Mungu tu anawalinda wanaMwanza walio wengi. Yale mawe ukiyaangalia yalivyokaa ndio utajua kuna nguvu kubwa inaulinnda ulimwengu na mabaya
2002 siye ndio tunamaliza la sabaNiliwahi kufika kule mwaka 2002 mpaka mimea inaungua kutokana na baridi nilifika Kandete, Kyejo mpaka Isange kupitia kiwanda cha majani ya chai Katumba au Tandale Tukuyu Mjini.
Dodoma pazuri mjini TU pale na Kondoa pale mjini vijijini hukoo ni shida kwanza kuna sehemu nilienda wanatumia maji Yale kama maziwa hivi hata kwetu Kijijini hayapo kabisaaKwahiyo tumekubaliana kuwa MKOA ambao haustahili kuishi watu ni DODOMA? na kwamba wanaoishi huko ni jamii ya watu wa kale??
Muongo kabisaaaa anadanganya live bodaboda kutokea ngongo buku jero,daladala zinatoka rutamba 2000 nadhani ,yaani nimeshangaa sana alivyodanganya Kijiji kina umeme na pale ngongo wamefunga maji watu wa maji,maji ya ng'apa Safi kabisaa,yaani anaongea TU kufurahisha barazaNg'apa Ni Porini mkuu?