reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]mlendaaaa!!nooooooSijui ukizaliwa wap.? Hakuna chakula kitam kama hicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]mlendaaaa!!nooooooSijui ukizaliwa wap.? Hakuna chakula kitam kama hicho
Na kule jangwani mi nawaonaga hawana akili sawasawa watuSehemu pekee ya kushangaa kwamba binadamu mwenye akili timamu anawezaje kuishi ni bonde la Msimbazi, Dar es Salaam na maeneo mengine ya mabondeni Dar. Nyumba za thamani zimejengwa kwenye bonde la Msimbazi na watu wanaotajwa kama wasomi na wajanja wa mjini.
Pole sana Mwanza ndio ya pili kwa Dar kwa uwingi wa magari hapa Tz.Na huko huko kuna tu vyoo tumejengwa juu ya mawe sijui wanatuchimba vipi? Mtu anaishi juu ya jiwe.na hataki kutoka? Mafundi sijui wajengaje utwo tujumba? Ch ajabu hawana mpango wa kutoka.
Mimi najiuliza mtu akiumwa wanamtoaje huko kwenye mawe? Sema yako karibu na bugando.[emoji1787]
Najiulizaga mtu anaishi sehemu mbovu vile ana ndoto ya kununua gari kweli? Atalipaki wapi?
Huko visiwa vya Ziwa viktoria hawa jamaa wanaoishi uko wako free sana ni kama wapo kwenye dunia yao wenyewe pekeyao. Hawana habari na yanayoendelea kwingineko. Na wapo wengi tu wanaishi uko lakin hata mwanza mjini hawapajui na ukitaka kukosana mwambie ahame uko visiwani. Ngono inapigwa nje nje kama ngoma mtaji mkubwa wa akinadada ni kujichubua tu ela inakuja yenyewe!Mwanza visiwa vya ziwa Victoria Zilagura,Nkome,Kasalazi na Gozba.Kuna wafanyabiashara wa Dagaa,bia na petrol pesa Mtu anaweka Kwenye mifuko na haibiwi. Gesti zimejengwa na mabanzi baadhi ya visiwa network shida
Acha masihara bob,unaongelea ng'ox auUDOM-COED!
We jamaa muyovozi iwe mbaya kuliko shunga? Anyway mwaka gani apoMuyovozi-Kasulu Kigoma.
Nilifika nikiwa JKT MUTABILA
Aisee watu Wana maisha magumu sijawai kuona. Yaani Kila unayemtazama usoni anaonekana kama vile analia, Vumbi kope na nywele ni vyekundu, ikinyesha mvua balaa tu tope kama lote.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nimekwmbia hiyo milima ni mjini hapo kishiri hakuna milima ,, ww mwanza huijuiHuko si Kuna Hadi Hiace za kishiri Buhongwa kupitia Meko
Wapare ndio zao kujificha milimani, Uende Chome, Vuje, Vunta, Tae, Bwambo ni milimani haswa wakati maeneo mazuri yapo.Nilifika Gonja Mawole huko Same sitasahau kuna sehemu tulifika ikawa mwisho wa gari. Kupanda na kutelemka ndio ikawa kazi ilikuwa wakati wa mvua udongo wa mfinyanzi utelezi ni hatari. Nilijiuliza sana kwamba hivi hawa wapare kuishi huku walimkosea nini Mungu ?
Mboga za majani Bora kabisa kwangu ni mlenda/ msusa , unafata mchicha , Tembele, Chinese , kabeji ,. .... mboga za majani ambazo sitaki hata kuziona ni kisamvu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]mlendaaaa!!noooooo
Umenikumbusha kisiwa kiitwacho Ghana, ndani ya Ziwa Victoria, katika Wilaya ya Ukerewe.Huko visiwa vya Ziwa viktoria hawa jamaa wanaoishi uko wako free sana ni kama wapo kwenye dunia yao wenyewe pekeyao. Hawana habari na yanayoendelea kwingineko. Na wapo wengi tu wanaishi uko lakin hata mwanza mjini hawapajui na ukitaka kukosana mwambie ahame uko visiwani. Ngono inapigwa nje nje kama ngoma mtaji mkubwa wa akinadada ni kujichubua tu ela inakuja yenyewe!
Huku upupu na ngozi ya ng'ombe vinaliwa...tena inaitwa supu ya magozi....Dodoma Kuna sehemu inaitwa farqwa,Kondoa road.
Pengine ni Mtambaswala,Masasi ,Lindi,na Nakapanya kama unaenda Tunduru,nchi hii basi tu,huko watu wanakula mpaka upupu
Kakukuru kata ya mulutilima...hapo beach ya kakukuru ndio stendi ya boti nyingi za kwenda visiwani huko (last time nilienda kakukuru 2020)...Siku za kufunga makambi huko visiwani wenyewe wanaita kutegeruka hapo kakukuru usafir wa kwenda nansio inakua ni patashikaUmenikumbusha kisiwa kiitwacho Ghana, ndani ya Ziwa Victoria, katika Wilaya ya Ukerewe.
Kuna watu mbali mbali wa ajabu kule. Kuna kila aina ya biashara kule, kuanzia ufusker na mambo mengine mengi. Upande wa biashara, products nyingi zinazopatikana kule ni Made in Kenya. Sijuhi, labda Kenya si mbali kutoka Ghana.
Ili uishi kule inabidi uwe na roho ngumu. Ili ufike kule inabidi upande yale maboti makubwa makubwa yaliyofungiwa bati juu kwa ajili ya kujikinga na jua & mvua. Stand kuu ya kwenda kule inaitwa Kakukuru.
Aiseee, tembea uone!
Halafu huwa wana mbwembwe hao....akiwa vijijini kwao huko akiulizwa hivi flani huwa unaishi wapi? Anajibu kwa madaha mwanza😂😂Na huko huko kuna tu vyoo tumejengwa juu ya mawe sijui wanatuchimba vipi? Mtu anaishi juu ya jiwe.na hataki kutoka? Mafundi sijui wajengaje utwo tujumba? Ch ajabu hawana mpango wa kutoka.
Mimi najiuliza mtu akiumwa wanamtoaje huko kwenye mawe? Sema yako karibu na bugando.🤣
Najiulizaga mtu anaishi sehemu mbovu vile ana ndoto ya kununua gari kweli? Atalipaki wapi?
Ndio maana ukiowa mwanamke wa kirangi ni rahisi sana kuhadaika na maisha ya mjini wengi wao wanazaliwa wanakulia kwenye maisha magumu chakula chao kikubwa ni ugali na nsanza ( majani yaliyokaushwa yanakaangwa halafu unatafuna kama karanga)Dodoma pazuri mjini TU pale na Kondoa pale mjini vijijini hukoo ni shida kwanza kuna sehemu nilienda wanatumia maji Yale kama maziwa hivi hata kwetu Kijijini hayapo kabisaa
Mimi ni mwenyeji sana japo kwenye mawe ni mgeni kabisa na sijawahi shawishika kukaa huko juu maana kwa haraka haraka tu ni kwa watu masikini sana kwa hali ya nyumba wanazoishi. Pia mtu mwenye pesa hawezi jenga hukoYaaan utoke mjini ukaishi misungwi!!! Me nimezaliwa huko mlimani mtaa wa unguja na nimekulia huko huko pale mbugani primary ya zaman kwa juu.
Kwa ww mgeni ndiomanaa umeshangaa alafu kusema unatumia saa zima sehem unapopaona si kweli ni uvivu wako tu.
Mwanza pazuri sana na hao wanao kaa huko me naona safi tu.. ukiwa mgeni ukaangalia huko kwenye miamba utapashangaa na kusema wanaishije au kama kwenye hiyo picha ukipanda mpka huko juu pamekaa vzr tu hizo nyumba ila ukiwa chini unaona kama nyumba zimebebana
Hiki kijiji niliona juzi channel 10 walikuwa wakifuatilia watu wanaotorosha watoto na kuja kuomba omba(mawakala)nilikuwa na mke wangu tunacheki jamani,jamani mke wangu akasema pale wapi nikamwambia ile wilaya ya Bahi Dodoma alichokaKijiji cha Chimendeli, wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma.
Sijui kule watu Wanaishi vipi. Unaweza Kudhani uko Somalia au Afghanistan.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app