Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KitangiriDuuuu hatari Sana Kama maeneo ya Igogo na Mabatini hiviiii
Wengi ni Wasukuma wahamiaji na Wakonongo.Ilunde Wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi. Kijiji kipo Porini, Kilomita 70 toka makao makuu ya Wilaya ya Mlele. Hakuna network wala nini na ni Porini hasa. Sijui walifuata nini kule.
Kuna kijiji kipo Iringa ndanindani[emoji16][emoji16]
Asubuh nikaletewa maji ya kuoga nikaoga fresh sasa ilivyofika jioni nikasema ngoja niende na huyo dada nikachote mwenyew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hicho kisima unachota maji pamoja na chura, unafanya kuwatoa chura kwenye ndoo ili upate maji aiseeh
Ikifika mida ya saa 12 jioni wanakijiji wote wanaenda kilabuni inshort kijiji kizima wanamwagilia moyo[emoji23]
Mbona mjini huko mjomba,Kuna sehemu wanaita mipotopoto ipo hifadhi ya lipalamba ndanindani,vocha ya 500 inauzwa 700Mwalobwabagole ndani ndani huko wilayani MISUNGWI
Mabatini mwanza😁Kwani ulitaka aseme anaishi wapi?
Mzee, Mabatini ipo Mwanza.
Ukienda kuowa mahali milloni 2....ukiangalia mwanamke mwenyewe darasa la saba halafu ana dhiki balaa...yaani unakuwa kama unanunua matatizo kwa bei kubwa😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kondoa sio pa mchezo, ila wanapenda kamati balaa
Kuna Kijiji jina Dotina, manyara huko, aisee kile Kijiji wiki niliyokaa niliona kama miaka 5!! Dotina, Endamasaki, wenyeji wa kule heshima kwenu!!
Huko unakotaja ni mjini wewe! Kuna mashule,zahanati na huduma zote za kijamii maji umeme etc!! Cha ajabu ni nn hasa?Watu wanaokaa tukuyu,mwakaleli,katumba kule mbeya, asee wana moyo sana, ni kama watu wanaoishi Dar alafu kipato ni dollar moja.
Kuna Wavidunda wanaishi juu ya milima pembeni ya Bwawa la Kidatu. Tulikwenda study tour unapita chuo cha Maafisa wa Polisi. Wao wanaahuka toka milimani ni hatari. Naambiwa Wana Mila Yao ya kubudu Moto lazima wawashe Pori mara moja Kila mwaka. Wale watu mpaka Serikali imeingia nao mkataba wa kuwasafirisha kwenda Kilombero kufuata mahitaji. Magari ya TANESCO yanawapeleka na kuwarudisha bure Kila alhamisi.
MorogoroIko kijiji kipo mkoa gani mzee.
Hii Dar napinga coz now kuna baridiDar es salaam joto kali hapakaliki.
Funguka eneo gani kwetu huko au Dule?Bumbuli wale waliojenga milimani kule,aisee
Ilonga je?Nilipanda mlima uluguru nikakuta waluguru huko juu Tena wanavijiji vyao Hali ya hewa ilikuwa nzuri ila huduma za kijamii Hadi uteremke mlima, binafsi nilishuka miguu inatetemeka na maumivu makali mno. Mpaka Leo nawashangaa watu Kule wanavyoishi
Ilonga ya kilosa? Huko sijafikaIlonga je?
Niliendaga kwa karumanzila,sikumbuki eneo gani mkuu, since 2014Funguka eneo gani kwetu huko au Dule?
Huku kila mtu yupo fiti. 😂Mwanza miambani wananoishi watia huruma sana japo wao wanaona wamepata viwanja city centre.
Huwa najiuliza walishindwaje kuweka makazi Usagara, Misungwi na Magu badala ya kubanana kwenye mawe kama mijusi ambako kupanda ni shida na inaweza kuchukulia lisaa kwenda sehemu unayoiona kwa mbele tu hapo.
View attachment 2378247