Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
- Thread starter
- #861
Nchi yetu kubwa Sana mkuu mpaka unaweza hisi tulipora sehemu za watu.Mugoma-Ngara-Kagera
dah n mbali kinoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi yetu kubwa Sana mkuu mpaka unaweza hisi tulipora sehemu za watu.Mugoma-Ngara-Kagera
dah n mbali kinoma
Kumbe kaskazini nako bado!!Same kata ya Mamba sehemu inaitwa Myamba.
wacha ubishi jumlisha zote na sehemu nyingine inabaki.Muongo wewe
Hahaha a nmecheka mpaka majirani wameshtukaKwa konje, handeni iko ndani ndani masaa sita kwa baisikeli kutoka makuyuni. Kila nyumba ina kibwengo
Sio mchezo unakutana na viluguru vifupi na matenga ya ndizi vichwaniMorogoro kinole
kule mbele milimani aisee nawazaga sana watu wamefata nini kule
Nchi hii kubwa mkuu duhhh kweli tembea uoneKijiji cha Kitapi, kipo wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani. Kipindi nimehamishiwa kikazi nimekuta maji ni kuchota visima vifupi, barabara imefunikwa na manyasi, hakuna mtandao wa simu hadi upande kwenye miti, nyumba zipo mbalimbali na zipo msitu, huduma ya soko ni kuanzia saa kumi Jioni hadi saa kumi na mbili jioni mchana watu wapo shamba, giza linaanza saa kumi na moja jioni kwa sababu ya msitu mnene, hakuna bodaboda zaidi ya zinazokuja na kutoka, mvua ikinyesha hakuna safari tena sababu ya utelezi na matope, husikii muungurumo wa gari kwa sababu gari pekee ni wakati wa mitihani ya darasa la saba.
Hatari Sana MkuuLokichogio ni kimji kidogo kilichopo kaskazini magharibi mwa Kenya. Niliwahi kukwama pale kwa siku moja, sikuamini kuwa kuna sehemu katika Dunia hii watu wanaweza kuishi kama wanyama.
Mazingira ya kimji kile Hali ya hewa ya joto na ukame wa jangwa, umbali kutoka hapo hadi Rodwar au Kakuma,... miji inayotoa huduma ya kila bidhaa inayohitajika kwa mahitaji ya binadamu, inafanywa kuwa ngumu kwa kukosa miundombinu ya barabara!.... Sijui kama waliisha fanya maboresho, kama bado kule ndio mwisho Dunia.
... na Kongo wasemeje!?Nchi yetu kubwa Sana mkuu mpaka unaweza hisi tulipora sehemu za watu.
Kwa wamburu😃Kwa konje, handeni iko ndani ndani masaa sita kwa baisikeli kutoka makuyuni. Kila nyumba ina kibwengo
Teh teh,ilikuwaje hukoKijiji kinaitwa kaza roho kipo Sumbawanga vijijini huku,aisee uchawi umetaradadi saana kama sio kwenda kikazi ningeondoka haraka saana [emoji119][emoji119][emoji119]
Anakuweka dole kubwa kwenye nyaa?Jamani mkoa wa simiyu hukoooo ndanindani nyumba zilivyojipanga, mchawi mchawi mchawi mganga mganga mganga mganga mfuga misukule mfuga misukule mwenye roho mtu mwema roho mbaya roho mbaya Hadi nikasema hivi shetani hakai kule kweli? Hapa ukienda upande wa kaskazini magharibi inaungia bariadi ndo unakutana na Kijiji funga kazi kinaitwa Gamboshi hiyo ndo mitaa ya JOKA LA MAKENGEZA ndo maana Kuna mtu akauliza mbona hii njemba Kila kashfa ya upigaji lazima alambe Kuna mtu akasema ooh yule ni mwanasheria nguli from havard! Hiyo siyo sababu kwani wakubwa wanajua ukipigwa juju unamfata JOKA anakupeleka huko Gamboga unabinuliwa kichuguu unachanjwa Kisha sangoma anakuweka dole lile kubwa bila kujali cheo wa protoko maana vyote unaviacha dsm kama siyo dom sasa mtu kama huyu Kuna wa kumgusa kweli?
Mambo ya machimboni huko,nlkuwa huko miezi mi5 iliyopitaKijiji kinaitwa shoga, kata ya sangambi wilaya ya chunya.
HahaaaaaaaaaJamani mkoa wa simiyu hukoooo ndanindani nyumba zilivyojipanga, mchawi mchawi mchawi mganga mganga mganga mganga mfuga misukule mfuga misukule mwenye roho mtu mwema roho mbaya roho mbaya Hadi nikasema hivi shetani hakai kule kweli? Hapa ukienda upande wa kaskazini magharibi inaungia bariadi ndo unakutana na Kijiji funga kazi kinaitwa Gamboshi hiyo ndo mitaa ya JOKA LA MAKENGEZA ndo maana Kuna mtu akauliza mbona hii njemba Kila kashfa ya upigaji lazima alambe Kuna mtu akasema ooh yule ni mwanasheria nguli from havard! Hiyo siyo sababu kwani wakubwa wanajua ukipigwa juju unamfata JOKA anakupeleka huko Gamboga unabinuliwa kichuguu unachanjwa Kisha sangoma anakuweka dole lile kubwa bila kujali cheo wa protoko maana vyote unaviacha dsm kama siyo dom sasa mtu kama huyu Kuna wa kumgusa kweli?
Duu bro, nimekuja kwenye huu uzi ili niweke hii commentMkoa wa Mara wilaya ya Butiama