Ni series gani ambayo ilinoga sana mwanzoni lakini mwisho ilikuja kuboa?

Ni series gani ambayo ilinoga sana mwanzoni lakini mwisho ilikuja kuboa?

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Wakuu,

Mimi Squid Game ya kwanza niliipenda sana. Ya pili pia walijitahidi, lakini ya tatu ni mbovu sijawahi kuona! 🤦‍♂️

Sikupenda kabisa jinsi Steringi 'Gi Hun'. Yaani baada ya mateso yote na safari ndefu, alifariki kizembe vile.

Vifo vya mwanzo viliumiza kwa sababu vilikuwa na maana, lakini hiki cha mwisho waliitengeneza ili wapige hela
 
Homeland

Episode za mwanzoni Drector alipoanza kutonesha Brody kuwa ndio main character halafu baadaye akaja kumuua, na nafasi yake kuchukuliwa na yule demu.

Mpaka hapo ikapoteza mvuto hata ukifuatilia views zake pamoja na mapokezi kwenye season zinazofuata hayakuwa makubwa kama ilivyokuwa season 1.
 
Back
Top Bottom