Wakuu,
Mimi Squid Game ya kwanza niliipenda sana. Ya pili pia walijitahidi, lakini ya tatu ni mbovu sijawahi kuona! 🤦♂️
Sikupenda kabisa jinsi Steringi 'Gi Hun'. Yaani baada ya mateso yote na safari ndefu, alifariki kizembe vile.
Vifo vya mwanzo viliumiza kwa sababu vilikuwa na maana, lakini hiki cha mwisho waliitengeneza ili wapige hela