Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
Chama cha Mapinduzi badala ya kuwa msaada, kimegeuka kampuni binafsi ya watawala na familia zao.
Chama hiko kimegeuka kuwa saratani isiyotibika inayoitafuna Tanganyika.
Tushikamane kupambana na hili jinamizi ili tufurahie uhuru na ustawi wa nchi yetu.
Angalizo muhimu
CCM imeungana na vyombo vyote vya dola kuhakikisha kinaendelea kutafuna nchi hata ikibidi kuua nusu ya Watanzania
Tuungane dhidi ya watawala wa CCM kuanzia wajumbe huko mashinani mpaka yule mnywa damu za watu Ikulu