Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

Mwarabu na shule wapi na wapi?

Yeye anakitabu chake kimoja ukishakikariri tayari kimekamilika na itakuwa umeeleea hesabu zote kuanzia hisabati, mathematics, additional mathematics, basic applied mathematics,pure mathematics, physic,chemistry, biology , finance, law , engineering nk. Hawahitaji madrasa ya kawaida Wala viti vya kukaa
Na astronomy ya jua kuzama matopeni. Jamaa ni mambwiga hujapata kuona.
 
Marais waislam toka wameshika madaraka mpaka wanastaafu wamewajengea vyuo vingapi?

ndo maana JK kwenye swala ya iddy Dodoma msikiti wa Ghadafi aliwaambia acheni kulia lia pelekeni watoto shule,mbona wenzenu shule zao zilitaafishwa na wakapambana kujenga tena?

semeni mntaka nini?ohh sisi mkuu tende,majamvi,miswala ya kuswalia inatutosha tu!

Nyerere kashafariki kitambo wewe Mudi umeshindwa hata kushawishi matajari unaojinasibu nao mjini kariakoo kujenga shule na vyuo vya kutosha?

umebaki kulia lia jukwaani maisha yako yote...Nyerere...Nyerere...Nyerere!

Haya Samia huyo hapo peleka 'miswada' ya ujenzi wa vyuo na shule mbona hulalamiki now kisa mvaa ushungi....Ubaguzi utakua kihoro Mudi wa Saigon.
Hao hata wakijenga shule na vyuo bado humo wataendelea kufundishana mambo ya kwenye kitabu chao yale ya jua kuzama matopeni. Na shida ya mafundisho yao utayaona wakifanya mitihani ya pamoja na wengine. We mtoto huko kwenye dini unakomsisitiza unamwambia jua linazama matopeni kwenye geography kule anaambiwa jua likizama ni kwamba haliendi popote kwa sababu upande mwingine wanaliona. Sasa hapo mtoto lazima kichwa ipagawe na thinking iwe limited.
 
Ikuru ya kwanza Tanganyika ilijengwa na Mjerumani pale Bagamoyo.
Na hadi leo ikulu ingekuwa Bagamoyo.

Tatizo lililo mkuta Mjerumani pale Bagamoyo ni kuwa, Bagamoyo ulishakuwa mji wa Mwarabu na watu wake walikuwa Waislamu.

Na Uislamu pale Bagamoyo kabla ya Mwarabu uliletwa na Washirazi wa Ghuba ya Uajemi.

Ndio maana ukienda pale mji wa Kaole Bagamoyo au Bwagamoyo unayakuta Magofu ya Waislamu Washirazi, hadi leo hii.

Kilicho wakimbiza Wajerumani Bagamoyo au Bwagamoyo ni kutokubaliwa na watu wa mji huo ambao wengi wao walikuwa Waislamu.

Wakajenga chuo Cha Mantep hawakupata wanafunzi.

Wakajenga Kanisa halikupata waumini.

Wakajenga Ikuru haikupata wafuasi.

Wajerumani wakashindwa kuwashawishi wananchi Waislamu wa Bagamoyo kuwakubali.

Wakawa hawana jinsi zaidi ya kuukimbia mji wa Bagamoyo.

Ndio wakaja Darusalaam, mji wa salama. Na kuijenga Ikuru nyingine pale Feri.

Ndio hadi sasa ni Ikuru Ya Serikali.
Na ilijengwa na Wajerumani baada ya kuikimbia Bwagamoyo.
Ikulu ya magogoni hawakuijenga wao waliikuta tayari jengo lipo na lilikuwa na matumuzi mengingine tofauti na siasa
 
Habari wadau.

Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni. Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo, forodhani, etc

Je, ni shule zipi zilitaifishwa ambazo zilijengwa na wakoloni Waarabu?

Maana waarabu walitangulia kuja Tanganyika na Zanzibar kwa kwa miaka zaidi ya 500 kabla wakoloni wazungu hawajaja.

Zanzibar pia waarabu walifika mapema sana maana msikiti wa Kazimkazi ulijengwa mwaka 1006 AD, waarabu walitawala kwa miaka mingi Zanzibar na walifika mapema sana, naomba mnitajie ni shule gani ya sekondari waarabu walijenga Zanzibar, na ilijengwa mwaka gani?
wewe shule ulio jenga kijijini kwenu ni hipi?
 
Back
Top Bottom