Ni Signature ya producer gani Bongo huwa ina Swag na inakuvutia? ( Producer Mkali wa Signature)

Wakuu wekeni na bei za kurekodi
 
Inagonga midundo hiyo na wasanii wetu wa Lake Zone kama kina SAIDA KAROLI, BK SANDE, KYANA KYO MUHAYA, MWL GEORGE SURA 2, BHADAGALA, MCHELEMCHELE, YA LEO KALI, LADY KILLY N.K
Papa kishaju mbona hukumtaja?![emoji23] [emoji23]
 
Hivi producer wa nyimbo kama Kaolewa ya Rostam na Mazonge ya Bright na Jolie ni nan?

Nasikiaga kitu kama Killings then MBEYAAA.

NAMWELEWA SAANA
 
Kwenye ngoma ya central zone ....anaanzaga na majengo sokoni ....binladen [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ...huwa napandwa na kichaaa kabisaaa
S2Keez beibyyyyy! na Majengo Sokoni MusiiiiiC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…