2017 No Name
Senior Member
- Jul 26, 2017
- 172
- 133
"Metro Booming Wants Sum More Nigga".,.!!!
"Ear Drumers" ya MikeWill MadeIt.,.!!!
"Ear Drumers" ya MikeWill MadeIt.,.!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papa kishaju mbona hukumtaja?![emoji23] [emoji23]Inagonga midundo hiyo na wasanii wetu wa Lake Zone kama kina SAIDA KAROLI, BK SANDE, KYANA KYO MUHAYA, MWL GEORGE SURA 2, BHADAGALA, MCHELEMCHELE, YA LEO KALI, LADY KILLY N.K
Hii naielewa sana
Inategemea na studio but kuanzia 80 kwenda juu...Wakuu wekeni na bei za kurekodi
anaitwa mo fire huyo..Napendaga signature ya producer aliyetengeneza huo wimbo ila sijuagi anaongea nn nasikiaga tu fufufuyage[emoji3][emoji3][emoji3]
Bwana mdogo anaitwa Beya na sio mbeyaHivi producer wa nyimbo kama Kaolewa ya Rostam na Mazonge ya Bright na Jolie ni nan?
Nasikiaga kitu kama Killings then MBEYAAA.
NAMWELEWA SAANA
Duh!!! Umenifanya nirudie four times kkusikilizaBwana mdogo anaitwa Beya na sio mbeya
[emoji1479][emoji1479][emoji1479]The Drummer Boy
S2Keez beibyyyyy! na Majengo Sokoni MusiiiiiCKwenye ngoma ya central zone ....anaanzaga na majengo sokoni ....binladen [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ...huwa napandwa na kichaaa kabisaaa
Sio baba, ni Abbaaah! HIo ni ya Producer AbbahHivi ile babaaa ni ya nani... naiskiaga skiaga sana
Ha ha poa mkuu shukrani sana inasikika poa sanaSio baba, ni Abbaaah! HIo ni ya Producer Abbah