Ni Signature ya producer gani Bongo huwa ina Swag na inakuvutia? ( Producer Mkali wa Signature)

Ni Signature ya producer gani Bongo huwa ina Swag na inakuvutia? ( Producer Mkali wa Signature)

Itakua ndo hiyojamaa katisha sana[emoji3] [emoji3]
Inagonga midundo hiyo na wasanii wetu wa Lake Zone kama kina SAIDA KAROLI, BK SANDE, KYANA KYO MUHAYA, MWL GEORGE SURA 2, BHADAGALA, MCHELEMCHELE, YA LEO KALI, LADY KILLY N.K
 
Kwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:

1. Abba

2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )

3. Nahreel On the beat

4. Kwenye Track hii na Hermy B

5. Maximizer ( Huyu naona kachukua nafasi ya Mazuu )

6. Tudd Thomas

7. Luffa

What's yours
kimambo on the beat...

musa babaz wa babaz...(esp akiitaja stamina kune HIVI AMA VILE)

bear bear...

diva makoo u killin 'em([emoji23][emoji23][emoji23] i know nimechapia,simjui ila ni yule alieproduce OLE ya belle 9 na G wara wara de kankara)...
 
Kuna ile ila cjui ni prdyza gan...another one anaisema Fa na mwanzon anaisema g nako bby cjui nn u kili me...nisaidien neno anlolisema g nako na prdyza gn

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuandika comment yangu ndo naona tulikua na mawazo sawa...

me nasemaga diva makoo u killing 'em[emoji23][emoji23][emoji23] kune wimbo wa OLE
 
Back
Top Bottom