kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,977
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa utakuwa unajua mpaka bhugobo goboInagonga midundo hiyo na wasanii wetu wa Lake Zone kama kina SAIDA KAROLI, BK SANDE, KYANA KYO MUHAYA, MWL GEORGE SURA 2, BHADAGALA, MCHELEMCHELE NK
kimambo on the beat...Kwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:
1. Abba
2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )
3. Nahreel On the beat
4. Kwenye Track hii na Hermy B
5. Maximizer ( Huyu naona kachukua nafasi ya Mazuu )
6. Tudd Thomas
7. Luffa
What's yours
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!
!
This is extra extra large. By Wema Sepetu
[emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuandika comment yangu ndo naona tulikua na mawazo sawa...Kuna ile ila cjui ni prdyza gan...another one anaisema Fa na mwanzon anaisema g nako bby cjui nn u kili me...nisaidien neno anlolisema g nako na prdyza gn
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ustadh uchebe ustadh uchebe...screpa records!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii hapa ingine hii...(kwa saut ya snura)Yapanza ndota, kwisa bahaariiiia kwiiiiiiiiiisaaaaa. Pole pole haunaaaaa,